Nje ya Tanzania hakuna anayejua matokeo ya Simba vs Yanga

Hoja hujibiwa kwa hoja. Umesema sifuatilii AFL nami nashangaa kwa wewe kuyafuatilia. Nimesema mengi, jibu hoja dogo
Nafuatilia hadi mapinduzi cup, je cha kushangaza hapo ni nini?
Je Infantino kafata derby au AFL?
 
Clip mnasambaza wenyewe halafu mnaikana. Rais wa CAF na FIFA walikuwa hawajui matokeo ya derby ya Kariakoo huo ndiyo UKWERI. Kuniambia wachina sijui wajamaica wanaobeti huko hakuifanyi ligi iwe bora.
Leo tu nimemkumbushia Kolo flani matokeo .... Tupo Kwa mwenyekiti Sasa hivi anilipe mchele wangu aliomwaga na mvua hizi hauzoleki.....punguzeni hasira.
 
Nafuatilia hadi mapinduzi cup, je cha kushangaza hapo ni nini?
Je Infantino kafata derby au AFL?
Kwa hiyo gay parade nazo unafuatilia? Unaita wengine wachawi kisa hawakubaliani na takwimu za mchongo, ila kauli mlizokuwa mnatoa kuhusu AFL kuwa ni bonanza la mchongo na linalopromoti ushoga huku Rais wenu na wanasiasa wenu wakipigania usiku na mchana ili muingie huko huko, huo haukuwa uchawi pro max?
 
Ukijua ku stick kwenye hoja utaniambia maana unaruka ruka kama maharage.
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana
 
Clip mnasambaza wenyewe halafu mnaikana. Rais wa CAF na FIFA walikuwa hawajui matokeo ya derby ya Kariakoo huo ndiyo UKWERI. Kuniambia wachina sijui wajamaica wanaobeti huko hakuifanyi ligi iwe bora.
Waandishi wa habari toka south Africa walikuja hapa Tanzania kwaajili ya hiyo mechi niliwaona wakimhoji kocha wa yanga, (Gamondi) siku mojs kabla ya mtanange huo inamaana simba alivyotandikwa mwanaukome S.A walijua
 
miongoni mwa derby 5 maarufu afrika halafu unasema nje ya Tanzania hakuna anayejua matokeo ?
South Africa wanafuatilia , Kenya , Uganda , Zambia , DRC , Egypt , Algeria , Morocco , Nigeria nk
 
Hapo ni Ghana wanazungumzia hiyo mechi. Nyie kaeni na huyo tapeli Infantino.
 
Acha uongo. Na mitandao ya kijamii yote hii?
Wote tumejionea kwenye mitandao hii hii ya kijamii kuwa Motsepe na Infantino walikuwa hawajui matokeo. Uzuri video mmesambaza uto wenyewe. Ila video inaonyesha waliuliza "how much?" Kwa hiyo inawezekana walimuuliza ametoa mlungula kiasi gani kupata ushindi ule.
 
Hivi aliulizwa?? Yani navyomuonaga mpole injinia jamani... ila sikuwaza atakua mmbea hivyo..
Aulizwe wapi? Halafu Hersi hajui, ukipata fursa ya kukutana na watu wenye mamlaka na pesa ambao unahitaji favor zao, unahitaji kuwa msikilizaji zaidi ya muongeaji. Yeye busy anapeleka fitna za waswahili.
 
Hapa ndio unazidi kuonyesha ukiazi wako! Rais wa FIFA ameenda kuangalia Derby south? ndio maana mliambiwa Simba imemleta Arsene Wenger na Rais wa FIFA
 
miongoni mwa derby 5 maarufu afrika halafu unasema nje ya Tanzania hakuna anayejua matokeo ?
South Africa wanafuatilia , Kenya , Uganda , Zambia , DRC , Egypt , Algeria , Morocco , Nigeria nk
Nadhani mada haujaielewa
 
Aulizwe wapi? Halafu Hersi hajui, ukipata fursa ya kukutana na watu wenye mamlaka na pesa ambao unahitaji favor zao, unahitaji kuwa msikilizaji zaidi ya muongeaji. Yeye busy anapeleka fitna za waswahili.
Kana kwamba yy ndo wa kwanza kumfunga wakati pia wao walishafungwa sana tuu na mnyama..
Yani je wangepata rekodi iliyoingia Simba ya kumfunga mtu bao 7 kwny club Bingwa si angetangaza dunia nzima...
 
Kana kwamba yy ndo wa kwanza kumfunga wakati pia wao walishafungwa sana tuu na mnyama..
Yani je wangepata rekodi iliyoingia Simba ya kumfunga mtu bao 7 kwny club Bingwa si angetangaza dunia nzima...
Halafu wanafki wanasema tuwe wazalendo wakati mtu live kwenye kisimu chake mwenyewe anajirekodi anasambaza taarifa za kuiharibia timu nyingine ya Tanzania ionekane si lolote si chochote kwa manufaa yake binafsi
 
Katika maelezo yako ingawa yana Uongo ndani yake lakini umevuruga zaidi uliposema raisi wa caf alisema inawezekana wachezaji wamerubuniwa ukitaka kutuaminisha caf wanatoa shutuma hovyo hovyo Tena zenye Uzito Tena hadharani bila uchunguzi kama wapo Kwenye kijiwe cha kahawa !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…