Nje ya Tanzania hakuna anayejua matokeo ya Simba vs Yanga

Ulieandika huu uzi ndiyo mbwa umeongea wa if ulikuwepo kwenye kikao kile, wabongo Nyosso sana
 
League ya mabingwa inaanza kesho kutwa tuone hiyo yanga ikitafunwa kama mchicha uwanjani..huyu rahis wa yanga hana akili kabisa na imedhihirisha wachezaji wa simba wamerubuniwa mpaka mnafanya sherehe then mtu anapanda pipa anapeleka umbea south Afrika..nonsense
 

Infantino na Motsepe wanajua kiingereza vizuri, inabidi watu wajiulize inakuwaje wamuulize "how much?". Infantino alianza kwanza kuuliza "How many", halafu haraka akabadili swali, "how much?" Mzungu hajawahi kuwa mjinga, wanajua mlungula ulitembea.
 
Infantino na Motsepe wanajua kiingereza vizuri, inabidi watu wajiulize inakuwaje wamuulize "how much?". Infantino alianza kwanza kuuliza "How many", halafu haraka akabadili swali, "how much?" Mzungu hajawahi kuwa mjinga, wanajua mlungula ulitembea.
Siwezi kupoteza mb kuangalia uongo wa kutunga kariakoo.
Kwahiyo yanga ni tajiri kuliko simba na bilionea wake Mpaka ihonge ?
Ni kina nani walipokea rushwa?

Waziri simbachawebe alisema bungeni “ Kama zile 5 zilipatikana kwa rushwa simba wanatakiwa kutoa taarifa ofisi ya takukuru temeke “
Wameshapeleka taarifa ?

Brazil ilishafungwa 7 nyumbani kwake na wakazipokea na kukubali sembuse simba
 
Video tumeiona wote bwana.

Rais wa FIFA na Rais wa CAF walicheka sana waliposikia timu waliyokuwa wanadhani ni ya maana imepigwa tano.

Ambaye hajaiona, video iko hapa:

https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/yangasc1935/videos/879695916700772/
 
Yani wacheke kuhusu hilo? Inamaana kufungwa 5 kunaondoa ubora wa timu? So nyie mlivyokandwa 5 kw 0 na 6 zile ziliondoa jina lenu kwny ramani ya mpira wa Tz?? Kuna zaidi ya hapo kwny huo uchekaji wao....either wamecheka kwa dharau na kuona huo ni umbea...
 
Yaani watanzania baadhi tunakaushamba flani sijui kataisha lini tunafanya mambo marahisi kuwa magumu hivi kwalevel aliyonayo infantino na motsepe ni wakushangaa mtu kufungwa 5 kwa 1 kweli kwenye football?? Wakati huko ulaya man u amekula 7 msimu t uliopita na hamsa zimetembea za kutosha....timu kubwa ahly kashafungwa 5 bila na mameloud ten michuano ya CAF africa siku ukiwa vibaya unafungwa hata 10 nikawaida tu ni mtu tu asiye na expossure ya mpira ataona kufungwa 5 ni miujiza ila kwenye mpira unawez fungwa hizo goli kipind cha1 tu.
Utofauti wa yanga na simba bado upo leo hii infantino hawezi kuijua simba eti kwasabb alimfunga yanga 5 au aijue yanga kwakumfunga simba5...infantino ataijua yanga pale atapofanya vizuri michuano ya CAF champions league na kupata nafasi ya kushiriki AFL miaka ya mbele..
 
Nimeamini wanaoumia ni mashabiki,mashabiki wa simba wanapitia kipindi kigumu kweli uku mtaani watu wana sonona.
Baada ya kufungwa tano ndio unataka kufahamu ubora wa NBC imeingia vipi ktk top 5,kipindi simba ipo vizuri mlikuwa mnasema nyinyi ndiyo mmeipa umaarufu NBC..iweje Leo mnakataa?
Kingine mlikuwa mkijimwambafai simba ni timu kubwa giant inajulikana duniani, sasa kama mnajulikana dunia watu watashindwa vipi kufahamu kama mmefungwa goli 5?
 
Clip mnasambaza wenyewe halafu mnaikana. Rais wa CAF na FIFA walikuwa hawajui matokeo ya derby ya Kariakoo huo ndiyo UKWERI. Kuniambia wachina sijui wajamaica wanaobeti huko hakuifanyi ligi iwe bora.
Mkuu uwe serious kidogo utaandikaje UKWERI badala ya UKWELI.
 

Pole sana aisee. Yaani kauli yako inaonesha ni jinsi ulivyoumia.
 
Aahaaa

Akiijibu hii nondo niambie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…