Nje ya wasabato wanawake wakristo wengi wanavaa "Nusu uchi" wameacha kuiga mfano wa mavazi ya Bikira Maria

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Hapo zamani ukienda kwenye makanisa wakristo walivaa kwa kujistili sana, Sketi ndefu, magauni, vilemba, nywele natural, n.k.

Sikuhizi imekuwa kawaida kuvaa NUSU UCHI kuanzia Suruali, Taiti, Kimini, vigauni vinavyochoresha, Pedo, Kitop, n.k. wakijitetea mavazi hayana shida kinahoangaliwa ni roho,

Angalau wasabato wapo wapo kwa mbali
 
Ni tabia yenu ya kupitisha namba za simu zilizoandikwa kwenye karatasi ili waumini wachague wachumba mama wa Mungu(bikra Maria) aliifanya?! 😃
 
Bikira Maria hakuvaa Suruali, Taiti, Kimini, Pedo, Kitop, kama hawa wakristo wengi wanavyovaa wakijitetea mavazi hayana shida kinahoangaliwa ni roho,

Angalau wasabato wapo wapo kwa mbali
Uzinzi sio dhambi nenda usome Bible na Quran kwa utulivu sana utagundua ninacho kisema kuwa ni kweli......
 
Hapo zamani ukienda kwenye makanisa wakristo walivaa kwa kujistili sana, Sketi ndefu, magauni, vilemba, nywele natural, n.k.

Sikuhizi imekuwa kawaida kuvaa NUSU UCHI kuanzia Suruali, Taiti, Kimini, vigauni vinavyochoresha, Pedo, Kitop, n.k. wakijitetea mavazi hayana shida kinahoangaliwa ni roho,

Angalau wasabato wapo wapo kwa mbali
Picha ya maria kama hautojali
 
Imani yoyote bila kupitia hayo ni imani butu,Yesu alitufundisha namna bora ya kujikana na matamanio ya mwili,hakula kila aliposikia njaa, japo alikuwa na uwezo.

Ukiona uko kanisani mawazo yanahamia kwenye mguu wa binti pembeni,acha tu kwenda kanisani,maana hata divai ile pale mbele itakukumbusha kvant.
 
Hapo zamani ukienda kwenye makanisa wakristo walivaa kwa kujistili sana, Sketi ndefu, magauni, vilemba, nywele natural, n.k.

Sikuhizi imekuwa kawaida kuvaa NUSU UCHI kuanzia Suruali, Taiti, Kimini, vigauni vinavyochoresha, Pedo, Kitop, n.k. wakijitetea mavazi hayana shida kinahoangaliwa ni roho,

Angalau wasabato wapo wapo kwa mbali
Hio kuvaa vizuri inasaidia nini wakati tunawapiga kama wengine tu huku kitaa
 
Hapo zamani ukienda kwenye makanisa wakristo walivaa kwa kujistili sana, Sketi ndefu, magauni, vilemba, nywele natural, n.k.

Sikuhizi imekuwa kawaida kuvaa NUSU UCHI kuanzia Suruali, Taiti, Kimini, vigauni vinavyochoresha, Pedo, Kitop, n.k. wakijitetea mavazi hayana shida kinahoangaliwa ni roho,

Angalau wasabato wapo wapo kwa mbali
Nje ya usabato ama nje ya ukristo.

Maana usabato sio ukristo
 
Wasabato tatizo lao kuu ni kupelekeana moto. Dhambi ya uzinzi ni anguko kubwa la wasabato wengi.
 
Back
Top Bottom