Njia gani ni bora kwa mtumishi kuhama kutoka halmashauri (local government) kwenda Taasisi zingine?

Au pambana ukapige m.a ya kitu fulan ukipata g.pa nzur hamia vyuo kufundisha
Ukipata g.pa nzur unaanza na assistant tutorial badae unaunga phd saf
 
Mwamba umemamaliza. Kwel we mhanga.
 
Fursa iliyopo ni labda awe na bot karema huko zivue dagaa.au kulima mpunga ifinsi huko kuna wal mpaka wa jero
 
Umesahau ifinsi aisee.wasukuma wanalima mpunga huko. Wali sahan jero aisee.
 
Fanya kwanza recartegorization ukiwa huko local government ili uwe afisa tehama halafu omba kuhamia hiyo taasisi kama afisa tehama.
Hadi sasa huu ndio ushauri bora
 
Soma open university mkuu mambo yasiwe mengi nenda kasome environmental engineering uende EWURA au mashirika ya umma unapiga hela fasta.
Ataendaje EWURA? Kumbuka transfer hazifanyiki kizembe hivyo, anahamishwa mtu na kada yake. Labda kama EWURA wana uhitaji wa Education Officer mwenye sifa za Ualimu, sio za Environment Officer, maana unahamishwa kwenda kwenye kada kama uliyoajiriwa huko unakohama
 
Nj
NNje ya mada, kwa nyie walimu wa shahada, take home inafika shngp kwasasa ukitoa na bod ya mikopo nq michango yote
 
Mpaka sio poa mkuu, ningeajiriwa kwenye manispaa au hata halmashauri zilizochangamka tungejiajiri kwenye harakati mbalimbali, Lakini Sasa huku useme ujiajiri dah.
Huku unajiajiri kwa kilimo na ufugaji, kusingekuwa na ishu watu wasingeishi huko, hiyo ajira ya serikali kuna watu wanaililia wameikosa, angalia usije kujuta baada ya kuacha kazi.
 
Siku hizi mkuu Ukitaka kwenda kusoma wanakusainisha Mkataba utakaokuzuia kuacha kazi kipind ukiwa masomoni au muda mfupi baada ya kumaliza masomo..
kwahyo Ngoma ngumu 😀😀
 
Umri unaruhusu endelea kuomba majeshini pia kwa graduate mwisho miaka 28 ukipata unakula Kona.
Serikali inatambua masters siku hizi unavuta milion na laki saba
Majeshi hawataki watu wenye check number, wanataka watu ambao hawana ajira, Kuna kapata
 
Majeshi hawataki watu wenye check number, wanataka watu ambao hawana ajira, Kuna kapata
Sorry for typing error, Nilitaka kusema, kuna kapteni mmoja aliwafukuza waajiriwa wa Tamisemi pale TAU(kikosi cha mgulani) na imeandikwa kabisa ktk tangazo la ajira, siyo kwamba aliwaonea.
 
Mkuu umeongea point mpaka kero, haya ndo madini tunayoyatafuta.
 
Siku hizi mkuu Ukitaka kwenda kusoma wanakusainisha Mkataba utakaokuzuia kuacha kazi kipind ukiwa masomoni au muda mfupi baada ya kumaliza masomo..
kwahyo Ngoma ngumu [emoji3][emoji3]

[emoji28][emoji28] huo mkataba hauvunjiki mana wife naye walimsainisha ila kamaliza anata kuhama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…