Njia gani ni bora kwa mtumishi kuhama kutoka halmashauri (local government) kwenda Taasisi zingine?

[emoji28][emoji28] huo mkataba hauvunjiki mana wife naye walimsainisha ila kamaliza anata kuhama.
Ngoma nzito hiyo 😀😀
Mkataba unaexpire Miaka mitatu baada ya kurudi kazini lakini kama mjanja mjanja aandike barua ya kuhama najua lazma wataandika comments kuwa anamkataba and such and such ila ahakishe anaandike barua ya kuomba uhamisho na anapata barua ya anakotaka kuhamia wakimnyima kibali kama anasababu za Muhimh lazma kibali atakupata kwa RAS ila lazma apambane sana 😅😅
Labda kama atataka atumie hizi njia za vijana wa siku hizi za nyuma ya pazia
 
Sorry for typing error, Nilitaka kusema, kuna kapteni mmoja aliwafukuza waajiriwa wa Tamisemi pale TAU(kikosi cha mgulani) na imeandikwa kabisa ktk tangazo la ajira, siyo kwamba aliwaonea.
😀😀 Ilikuwa mwaka 2018 hiyo ila Kuna watu nawajua kibao tu walitoka Tamisemi na Wizara na walikuwa na check namba
Sasa hivi wanakula Bungo na walipita hapo hapo kambini kwenye usaili wa Mgulani na umri wao pia ulikuwa mkubwa kuliko waliotaja wa chini ya 30..

Moral lesson-kila mtu Mungu amemwandikia Njia yake pambana na njia zako hizohizo utafankiwa
 
Pitia uzi huu hautojutia
 
Ahaa sawa.
 
Jamiiforums kisima Cha maarifa.

Mimi ni mtumishi Mwalimu, Nilisoma PCB advance nikapata division II point 12, nilichaguliwa computer and software engineering Lakini sikwenda, nikazamia Chaka la ualimu wa Physics Nilisoma kwa sababu ya kukosa washauri pamoja na umaskini wa home na nilitaka kuajiriwa mapema Ili nijitegemee , ni kweli baada ya kumaliza chuo nikaajiriwa, Niko na miaka 26 sasa.

Mwaka mmoja kazini sasa, nafikiria mambo mengi kuondoka hapa nilipo shida sio mshahara tulianza na Tgts D3 na Rais Mama Samia alijitahidi kuongeza ongeza (nimpongeze kwa ilo), pia anajitahidi kulipa walimu stahiki zao, kuwapandisha madaraja Pamoja na madaraja mserereko (anaupiga Mwingi) pia watumishi wengi wa halmashauri mishahara yao ni humo humo hakuna utofauti saana, Kwahiyo swala la Mwalimu kua na mshahara Mdogo kuliko watumishi wengine wa halmashauri sio kweli. labda utofauti ni kwamba Mwalimu hana Cha kuiba mpaka Mwisho wa mwezi, pia walimu hawana professional board yani mtu yoyote yule anaweza kumfanyia ujinga Mwalimu maana hana sehemu ya kuguswa mfano hao "Afsa utumishi" CWT na wenyewe wapo wapo tu kula hela ya Mwalimu wakinenepeana bila kazi yoyote Ile hiki chama kingefutwa labda ingeleta tija. Ukiwa wa tofauti wanakuona mkorofi na kukutafutia zengwe upuuzi.

Nafikiria kusoma degree nyingine kabisa mawazo yangu yakanipelekea kusoma meteorology au hiyohiyo computer and software engineering ambayo niliiacha au niende pale ATC nikapige bachelor degree in mechatronics and material engineer?

Nilianza kufanya application Mwaka huu changamoto niliyoipata ni ruhusa wanasema kupewa ruhusa kwenda kusoma degree nyingine ni ngumu, kwa mtu mwenye degree wanatoa ruhusa ya miezi 18 tu?, Hapo swala limekaaje?

Wengine wamenishauri nisome open university mambo ya procurement and supply Pamoja na mambo ya finance kitu ambacho naona kama nitarudi tu halmashauri kujipendekeza wanifanyie "recategorization" kitu ambacho sitaki. Nikifikiria kusoma masters degree ya Education au utawala Lakini naona kama aina faida yoyote kwangu, maana Kuna Mwalimu wa sekondari ana PhD Lakini njaa Kali tu.

Je nikifanikiwa kusoma degree nyingine uwezekano wa kuhamishwa kwenda wizara au Taasisi nyingine upo?
NB, Sina mtu yeyoye ambae naweza kusema Nikisoma kitu Kingine anaweza kunishika mkono hapana, au niachane navyo vyote niende VETA Nikachukue ujuzi mbali mbali nijiajiri Huku nikiwa Teacher?
Kasome civil engineering ipo vizuri
 
Tafuta Admissions ya vyuo viwili tofauti ya walimu na kozi unayopenda kusoma ,then omba ruksa ya kusoma ualimu ,ukifika soma kozi nyingine ukirudi hamna kesi
 
Kasome civil engineering ipo vizuri
Yote hayo nilishajaribu nikanyimwa ruhusa, wamenambia kwa sababu nimeanza na degree, ruhusa pekee nayoweza kupewa ni miezi 18 tu, nafikiria nikasome law hata kama wakizingua naweza kujiajiiri mwenyewe.
 
Apply Master ya education na degree ya civil engineering . Masters huwa inasomwa miaka Mingi Sana miexi kumi na nane mara chache Sana mtu kumaliza. Ila uwe mkoa wa mbali usimpe mtu information zako kuanzia mkuu wako wa shule, hata ndg zako au mke wako asijue unaomea nini . pale çhuoni usiwaambie wewe ni service wanafunzi wenzako. Aachana na MSc nenda kasome degree ya civil engineer. Wakiuliza kazini waambie upo unafanya thesis. Kwahiyo kugraduate bado mwishowe utagraduate na kuomba ufanyiwe recategorization au unahama wilaya ndani ya mkoa mmoja unaenda kufanyiwa recategorization . inabidi uwe technical Sana
 
Asante maana umenipa kitu kipya kabisa,swali linakuja ni kosa gani la kiufundi alilifanya yule mwalimu bukoba aliefungwa jela miaka 3, baada ya kumdanganya muajiri kwamba anasoma degree kumbe alishamaliza akaunga na masters? Au ndio hayo mambo ya kutokua msiri kwenye mambo yako?
 
Apply Master ya education na degree ya civil engineering . Masters huwa inasomwa miaka Mingi Sana miexi kumi na nane mara chache Sana mtu kumaliza. Ila uwe mkoa wa mbali usimpe mtu information zako kuanzia mkuu wako wa shule, hata ndg zako au mke wako asijue unaomea nini . pale çhuoni usiwaambie wewe ni service wanafunzi wenzako. Aachana na MSc nenda kasome degree ya civil engineer. Wakiuliza kazini waambie upo unafanya thesis. Kwahiyo kugraduate bado mwishowe utagraduate na kuomba ufanyiwe recategorization au unahama wilaya ndani ya mkoa mmoja unaenda kufanyiwa recategorization . inabidi uwe technical Sana
PCB wanaruhusiwa kusoma Engineering?
 
Njoo hapa mpanda,digital tupate mbili tatu huku tunashauriana mimi nipo kwenye taasisi nataka nije halmashauri
Digital pa moto sana hapo nilipita alfjir nilipokelewa na bashasha na wahudumu saa Kumi na Moja Alfjir nilikatisha
 
Ndugu, kama umeajiriwa na unafikiri huwezi kujipendekeza kwa kila jambo basi hutafanya unachokitaka. Kwenye ajira lazima ujue yuko mkubwa/wakubwa wako. Na ili wakufanyia unachotaka itakubidi ujishushe mda mwingine.

Kwa mfano, unadhani utatoa wapi ruhusa ya kusoma course tofauti na ualimu kama huchezi na afisa utumishi na afisa elimu wako? Acha ubabe, kubali kuliwa ili ule.

Basi sawa, umefanikiwa kuisoma hiyo degree nyingine bila kujishusha. Je utahamaje kwenda hiyo taasisi? Labda private sio taasisi ya serikali.

Kumbuka, taasisi za serikali zinachukua watumishi kwa vyeo vyao vya muundo, kule wanabadilishiwa mshahara na majukumu tu. Hawawezi kuhamisha mwalimu kutoka local government ili akawe afisa tehama kwao.

Fanya kwanza recartegorization ukiwa huko local government ili uwe afisa tehama halafu omba kuhamia hiyo taasisi kama afisa tehama.

Otherwise, ukishapata hiyo degree ya tehama kwa mfano, omba nafasi kwenye taasisi za elimu, ukifika huko ndio uwaambie umesomea tehama so wakufanyie recategorization uende tehama, (kama gape lipo)

N.B.
Kwa tabia yako ya kutojishusha, sijui hata kama hiyo barua ya kuhama utasainiwa, achilia mbali ruhusa ya kwenda kusoma
Sio kweli unahama tu.
 
Jamiiforums kisima Cha maarifa.

Mimi ni mtumishi Mwalimu, Nilisoma PCB advance nikapata division II point 12, nilichaguliwa computer and software engineering Lakini sikwenda, nikazamia Chaka la ualimu wa Physics Nilisoma kwa sababu ya kukosa washauri pamoja na umaskini wa home na nilitaka kuajiriwa mapema Ili nijitegemee , ni kweli baada ya kumaliza chuo nikaajiriwa, Niko na miaka 26 sasa.

Mwaka mmoja kazini sasa, nafikiria mambo mengi kuondoka hapa nilipo shida sio mshahara tulianza na Tgts D3 na Rais Mama Samia alijitahidi kuongeza ongeza (nimpongeze kwa ilo), pia anajitahidi kulipa walimu stahiki zao, kuwapandisha madaraja Pamoja na madaraja mserereko (anaupiga Mwingi) pia watumishi wengi wa halmashauri mishahara yao ni humo humo hakuna utofauti saana, Kwahiyo swala la Mwalimu kua na mshahara Mdogo kuliko watumishi wengine wa halmashauri sio kweli. labda utofauti ni kwamba Mwalimu hana Cha kuiba mpaka Mwisho wa mwezi, pia walimu hawana professional board yani mtu yoyote yule anaweza kumfanyia ujinga Mwalimu maana hana sehemu ya kuguswa mfano hao "Afsa utumishi" CWT na wenyewe wapo wapo tu kula hela ya Mwalimu wakinenepeana bila kazi yoyote Ile hiki chama kingefutwa labda ingeleta tija. Ukiwa wa tofauti wanakuona mkorofi na kukutafutia zengwe upuuzi.

Nafikiria kusoma degree nyingine kabisa mawazo yangu yakanipelekea kusoma meteorology au hiyohiyo computer and software engineering ambayo niliiacha au niende pale ATC nikapige bachelor degree in mechatronics and material engineer?

Nilianza kufanya application Mwaka huu changamoto niliyoipata ni ruhusa wanasema kupewa ruhusa kwenda kusoma degree nyingine ni ngumu, kwa mtu mwenye degree wanatoa ruhusa ya miezi 18 tu?, Hapo swala limekaaje?

Wengine wamenishauri nisome open university mambo ya procurement and supply Pamoja na mambo ya finance kitu ambacho naona kama nitarudi tu halmashauri kujipendekeza wanifanyie "recategorization" kitu ambacho sitaki. Nikifikiria kusoma masters degree ya Education au utawala Lakini naona kama aina faida yoyote kwangu, maana Kuna Mwalimu wa sekondari ana PhD Lakini njaa Kali tu.

Je nikifanikiwa kusoma degree nyingine uwezekano wa kuhamishwa kwenda wizara au Taasisi nyingine upo?
NB, Sina mtu yeyoye ambae naweza kusema Nikisoma kitu Kingine anaweza kunishika mkono hapana, au niachane navyo vyote niende VETA Nikachukue ujuzi mbali mbali nijiajiri Huku nikiwa Teacher?
D3 take home ngap mkuu??
 
Back
Top Bottom