Njia gani ni bora kwa mtumishi kuhama kutoka halmashauri (local government) kwenda Taasisi zingine?

[emoji28][emoji28] huo mkataba hauvunjiki mana wife naye walimsainisha ila kamaliza anata kuhama.
Ngoma nzito hiyo 😀😀
Mkataba unaexpire Miaka mitatu baada ya kurudi kazini lakini kama mjanja mjanja aandike barua ya kuhama najua lazma wataandika comments kuwa anamkataba and such and such ila ahakishe anaandike barua ya kuomba uhamisho na anapata barua ya anakotaka kuhamia wakimnyima kibali kama anasababu za Muhimh lazma kibali atakupata kwa RAS ila lazma apambane sana 😅😅
Labda kama atataka atumie hizi njia za vijana wa siku hizi za nyuma ya pazia
 
Sorry for typing error, Nilitaka kusema, kuna kapteni mmoja aliwafukuza waajiriwa wa Tamisemi pale TAU(kikosi cha mgulani) na imeandikwa kabisa ktk tangazo la ajira, siyo kwamba aliwaonea.
😀😀 Ilikuwa mwaka 2018 hiyo ila Kuna watu nawajua kibao tu walitoka Tamisemi na Wizara na walikuwa na check namba
Sasa hivi wanakula Bungo na walipita hapo hapo kambini kwenye usaili wa Mgulani na umri wao pia ulikuwa mkubwa kuliko waliotaja wa chini ya 30..

Moral lesson-kila mtu Mungu amemwandikia Njia yake pambana na njia zako hizohizo utafankiwa
 

Pitia uzi huu hautojutia
 
Ahaa sawa.
 
Kasome civil engineering ipo vizuri
 
Tafuta Admissions ya vyuo viwili tofauti ya walimu na kozi unayopenda kusoma ,then omba ruksa ya kusoma ualimu ,ukifika soma kozi nyingine ukirudi hamna kesi
 
Kasome civil engineering ipo vizuri
Yote hayo nilishajaribu nikanyimwa ruhusa, wamenambia kwa sababu nimeanza na degree, ruhusa pekee nayoweza kupewa ni miezi 18 tu, nafikiria nikasome law hata kama wakizingua naweza kujiajiiri mwenyewe.
 
Yote hayo nilishajaribu nikanyimwa ruhusa, wamenambia kwa sababu nimeanza na degree, ruhusa pekee nayoweza kupewa ni miezi 18 tu, nafikiria nikasome law hata kama wakizingua naweza kujiajiiri mwenyewe.
Apply Master ya education na degree ya civil engineering . Masters huwa inasomwa miaka Mingi Sana miexi kumi na nane mara chache Sana mtu kumaliza. Ila uwe mkoa wa mbali usimpe mtu information zako kuanzia mkuu wako wa shule, hata ndg zako au mke wako asijue unaomea nini . pale çhuoni usiwaambie wewe ni service wanafunzi wenzako. Aachana na MSc nenda kasome degree ya civil engineer. Wakiuliza kazini waambie upo unafanya thesis. Kwahiyo kugraduate bado mwishowe utagraduate na kuomba ufanyiwe recategorization au unahama wilaya ndani ya mkoa mmoja unaenda kufanyiwa recategorization . inabidi uwe technical Sana
 
Asante maana umenipa kitu kipya kabisa,swali linakuja ni kosa gani la kiufundi alilifanya yule mwalimu bukoba aliefungwa jela miaka 3, baada ya kumdanganya muajiri kwamba anasoma degree kumbe alishamaliza akaunga na masters? Au ndio hayo mambo ya kutokua msiri kwenye mambo yako?
 
PCB wanaruhusiwa kusoma Engineering?
 
Njoo hapa mpanda,digital tupate mbili tatu huku tunashauriana mimi nipo kwenye taasisi nataka nije halmashauri
Digital pa moto sana hapo nilipita alfjir nilipokelewa na bashasha na wahudumu saa Kumi na Moja Alfjir nilikatisha
 
Sio kweli unahama tu.
 
D3 take home ngap mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…