Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwa kweli πMpe tango la kinyeo kila siku lazima aage mashindano.
Utasikia tu anakwambia "baby nataka kwenda kumsalimia shangazi yangu wa ntwara".
Kwaheri MA MTU.
Cc: Extrovert dronedrake secretarybird
Amtoe out, huku nyuma washkaji wahamishe vitu.....akirudi anakuta ndani kuna bulb tu bro
Kumbe na wewe ni mhuni kama wahuni wengine. Sawa kirangaDah,
Mkuu umenikumbusha mbali sana.
Hapo ukipatwa na safari ya ghafla ya kikazi ukamuelezea inakuwaje?
Au ndiyo atakuambia safari njema umuache nyumbani kabisa?
Mmmh alafu wewe kuna mada flan ya dini niliona unachangia ujieMuombe mtaro halaf paka mkongo safisha mtaro kwa masaa 3 kesho ataondoka mwenyw bila kuaga
Utaoa lini...?Mimi wakwangu nilimwambia tu kuishi nayeye kwa muda mrefu ilhali sifahamiki kwao(sogea tuishi) sitoweza
Kuna leo na kesho hvyo tatizo linaweza likatokea tusijue kwa kuanzia.
Tunapozidi kuandaa process za kutambulika si mbaya akawa anakuja na kusepa.
Alielewa maana huo ulikua uungwana wangu tu wa kumwelewesha pia ananijua upande wangu wa pili kama angekaidi.
Nb;BADO NIPO NIPO KWANZA.
M ni mwana mpotevuMmmh alafu wewe kuna mada flan ya dini niliona unachangia ujie
Yaan hadi nimestuka kama ndo.kuna nyuzi unabadilika hv we mwambaM ni mwana mpotevu
Huo ni uzoefu wa miaka mingi iliyopita.Kumbe na wewe ni mhuni kama wahuni wengine. Sawa kiranga
QmmaeππππAmtoe out, huku nyuma washkaji wahamishe vitu.....akirudi anakuta ndani kuna bulb tu bro
Tunachagiza tu jukwaaYaan hadi nimestuka kama ndo.kuna nyuzi unabadilika hv we mwamba
kweli wewe ni notorious nimekubali ππππππππWeka sauti ya mahubiri ya TB Joshua saa kumi alfajiri kila siku.
Usiku weka alarm iwe inalia kila baada ya saa moja, na ringtone iwe ngoma ya majini.
Mpange rafiki yako akupigie simu, msave mwenye nyumba. Apandishe kodi iwe kubwa halafu atake ya mwaka mzima. Sasa kila siku jioni mada iwe ni huna ela ya kodi na hujui la kufanya. Ataondoka, asipoondoka anza kumuomba akusaidie hiyo kodi, au aende kwao kwanza huku ukifikiri utakapohamia halafu utamjulisha.Kama inavyosomeka hapo juu
Kuna demu kaja hapa ghetto wiki sasa inaisha haoneshi dalili ya kuondoka
Nawaza nitumie njia gani ambayo haitaleta lawama kwa upande wangu pindi nitakapomtimua huyu demu.
Kuna wale wakongwe wa kufukuza wanawake ving'ang'anizi kwenye nyumba nipeni mbinu 2 3 zisizo na madhara nimtimue huyu demu.
Sababu ya kumfukuza ni kwao sijulikani na sijiskii tu kuishi na mwanamke hapa kwangu kwa sasa