Njia gani nzuri ya kumfukuza mwanamke alieng'ang'ania ghetto??

Demu mwenye ndo huyo na shangazi kaja?
Broo si ungeenda kwa wahadzabe ujichukulie ka duduqe kako kamoja?
 
Mkuu siyo makosa yao ila ni hisia za kimwili zikitulia akili ndiyo inaanza kufanya kazi, Vijana wa sikuhizi wanakinai sana Wanawake kwasababu wanatongoza kwa kuangalia umbo sasa akishapata anakuta hakuna utofauti.
 
Mpe mjani
 
Kuna binamu yangu alitaka kufukuza ivo mdada akang'ang'ania hatoki mtu toka 2012 saivi ndo wife tena material haswaa wana watoto 6 na ndoa walifunga
 
Mkuu siyo makosa yao ila ni hisia za kimwili zikitulia akili ndiyo inaanza kufanya kazi, Vijana wa sikuhizi wanakinai sana Wanawake kwasababu wanatongoza kwa kuangalia umbo sasa akishapata anakuta hakuna utofauti.
Nakubaliana na wewe.Ila ifike mahali waache kuendekeza ngono,mambo ni tofauti.
Wanawaumiza hao watoto wa kike bila sababu za maana matokeo yake wanawazalisha na kutengeneza watoto wanaohangaika.

Ukute bint wa watu ana mimba hapo ndio anamuona mzigo.
 
Kama ni mwanachuo na alikua finalist ushaoa apo hatoondoka nina experience
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…