Njia gani nzuri ya kumfukuza mwanamke alieng'ang'ania ghetto??

Kumbe na wewe ni mhuni kama wahuni wengine. Sawa kiranga
Katika kitu sitakagi kuumiza mwanamke ambae ni royal kwangu Ila wale chapa ilale NAKUAGA KAMA BENITO MUSSOLINI.

Kuna kipindi o level,secondary nilikua nakaa nyumba nzima Mimi nikaita rafiki yangu mmoja tukawa tunakaa WOTEE

Wadau wakawa wanaomba geto siku moja mdada mmoja alikua na shobo na rafiki yangu akamleta geto piga mashine baada ya gemu JAMAA AKASEMA AKIMWAMBIA DEMU ""ULICHO KUA UNAKITAFUTA UMEKIPATA" TUSIJUANEE KUANZIA SASA.

JAMAA GAIDI SANA LILEπŸ˜†
 
Cheki na mwanao mmoja, mvishe uhusika wa mdogo wako, azuge amemaliza UE wazazi wenu wamemwambia aje kwako kuvuta pumzi, hakikisha maongezi yenu king'ang'a anayasikia, hivyo mpange akupigie muda utakaokuwa naye, akiwa anakuelezea zuga kama hujaridhika na maagizo ya wazazi hivi, misonyo kidogo na u-GABO ZIGAMBA wa kutosha
 
Nakumanya vizuriiiiii love! Uko radhi ufie kwenye kineeee 😁😁😁😊

Mwanaume Unaiachaje tamuuu !! Labda kama hajampenda
Adam na Hawa wenyewe uzalendo uliwashinda mpaka wakanyanduana...
 
Nakumanya vizuriiiiii love! Uko radhi ufie kwenye kineeee 😁😁😁😊

Mwanaume Unaiachaje tamuuu !! Labda kama hajampenda
Ndio ivyo anakuwa akumpenda kumfanya mke hapo alikuwa ameshapanga kabisa ni kula tu mzigo bhasi
 
Nipe number yake na baadhi ya information kumuhusu then mkiwa pamoja nitampigia kujifanya kama bwana ake na msg kibao za uchonganishi ila utalipia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
WENGINE WANAOTA WAPATE WADADA KAMA NAO WAISHI NAO WEWE UNAFUKUZA. DAH JAMENIIII
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…