GIAN JUNIOR
Member
- Mar 9, 2011
- 49
- 55
Safi
Atachomolewa muda si mrefuMafichoni,wewe unaamini polisi hadi sasa wapo hapo kanisani na wameshindwa kumpata "Jasusi wa Mbinguni"
Kabaki na ya ubunge..Itakua kaenda kwake kupumzika na kuwazua,,kupoteza kazi ni Jambo gumu Sana..
Hv hii nguvu inayotumika kumsaka au kumkamata Askofu Gwajima, kwann isielekezwe kuwasaka Wasiojulikana??Kuna njia rahis sana ya gwajima kutoka hapo
Wasichokijua ndani,na hata mvunguni kwao wapo Gwajima 500000.
Yaan mpaka sasa sidhan kama yupo hapoKuna njia rahis sana ya gwajima kutoka hapo
Mafichoni,wewe unaamini polisi hadi sasa wapo hapo kanisani na wameshindwa kumpata "Jasusi wa Mbinguni"?
Wajisake wenyewe? Hao watu wanajulikana na unit gani. Lakin sababu wako answerable to highest, even wengine huku chini wanashindwa ku actHv hii nguvu inayotumika kumsaka au kumkamata Askofu Gwajima, kwann isielekezwe kuwasaka Wasiojulikana??
Hii nchi inaongozwa na Wendawazimu perce!!
Charge ya simu yake isiishe tuu kwakweliNitumie dm mkuu, nikampostie kule insta kwenye dm yake, au mfate insta @ Bishopgwajima
Once wakishamchukua ni ngumu kukana kwamba hawajui alipo. Wanakuwa wamesha ji commitYaan mpaka sasa sidhan kama yupo hapo
Kuna kitu kinaitwa tipping point,Kama hukijui fuatilia yaliyotokea Sudan ya khatoum,wanaharakati wanaojiita wakombozi wa nchi walipelekea Ile nchi kuharibika,tipping point ikishafikiwa huwa hakuna kurudi nyuma,ndo maana wanajaribu kuzuia, kwa hapa America tunaita ,"Nipping in a buddy 'Hv hii nguvu inayotumika kumsaka au kumkamata Askofu Gwajima, kwann isielekezwe kuwasaka Wasiojulikana??
Hii nchi inaongozwa na Wendawazimu perce!!
Huku ni kujipa tabu kwakweli 😄Baadhi ya waamini na Watu ambao wanaoelekea kwenye Kanisa la Askofu Gwajima au kwenye mwelekeo wa Kanisa hilo lilipo wanazuiwa na kuamriwa na askari kuondoka eneo hilo.
Mpaka majira ya saa tano asubuhi yaleo Juni 3, 2025, askari wenye magari na silaha wamezunguka njia zinaoelekea kwenye Kanisa la Askofu Gwajima.
Mwamposa ni pro-CCM huyo. Juzi nilimwona kikao cha CCM Dodoma. Kiongozi yeyote wa Dini asiyeweza kemea maovu yanayofanywa na Serikali kwa watu wake HAFAI. He's just after money n' nothing else!!!Waumini wahamie kwa Mwamposa
Sasa atapata wapi ubungeKabaki na ya ubunge..
Sifa moja kubwa ya kujiunga na Polisi ni class 7 au Form 4 failure. Ukiwa Polisi hutakiwa kutumia akili baali matako na kupokea amri toka juu.Full stop!Upolisi ni Uchoko kwa nchi za Afrika hasa Tanzania.