BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 9,121
- 20,814
Yale mabomu ya kurushwa kwa mkono ni bei gani
Yale mabomu ya kurushwa kwa mkono ni bei gani
Amuulize mwenzie nabii Suguye kilichomkuta kanisa lake likipofungwaHao polisi watakaa hapo hadi lini?
Haya ni matumizi mabaya kabisa ya fedha za walipa kodi. Watawala hawana huruma kabisa na fedha za walipa kodi.
Kumdhibiti ili asiseme ukweli ndiyo furaha ya chama chetu?ni matumizi sahihi sana, tena wamechelewa mno kumdhibiti huyu TAPELI, aliye ji-camouflage kwenye siasa na dini
Uko wapi? 😹Yale mabomu ya kurushwa kwa mkono ni bei gani
Kwakweli Afrika hatuna haraka na maendeleo wala mambo muhimu.Amuulize mwenzie nabii Suguye kilichomkuta kanisa lake likipofungwa
Waliweka kambi
Na misikiti kibao kukiwa na ukorofi polisi huweka kambi kabisa
Kukiwa na wahuni wengi majeshi yote huwa kazini polisi,JWTZ, nkKwakweli Afrika hatuna haraka na maendeleo wala mambo muhimu.
Yaani Gwajima mmoja anaenda kuwekewa lundo la polisi sasa ikitokea watu mia moja wenye mrengo kama wa Gwajima si polisi wote wataelekezwa kuwazuia watu hao huku maeneo mengine yakiwa hayana walinda mali za raia?
Mimi ninayo moja ""afanye majengo no ofs kazikodisha kwa mtu mwingine mwenye kanisa/ huduma so kwa Sasa awe na huduma Chini ya mwamvuli MWINGINE so mapambano yaendeeleeKuna njia rahis sana ya gwajima kutoka hapo
Ila ni sahihi unachoongea maana mtu akiwa madarakani hakumbuki kama ipo siku anawezwa kutwezwa utu wake kama anavyowatweza wengine.Kukiwa na wahuni wengi majeshi yote huwa kazini polisi,JWTZ, nk
Issue ndogo hiyo wanavalishwa tu uniform za polisi kazi inaendelea
Umeandika so what? Unataka kuwaelekeza polisi jinsi ya kufanya kazi yao? Fanya mambo yakoBaadhi ya waamini na Watu ambao wanaoelekea kwenye Kanisa la Askofu Gwajima au kwenye mwelekeo wa Kanisa hilo lilipo wanazuiwa na kuamriwa na askari kuondoka eneo hilo.
Mpaka majira ya saa tano asubuhi yaleo Juni 3, 2025, askari wenye magari na silaha wamezunguka njia zinaoelekea kwenye Kanisa la Askofu Gwajima.
Chadema ipasuke mara ngapi? We kwl hamnazo
Walikatie huduma ya maji na umemeHii ni zaidi ya kulifungia kabisa.
MahakamaNitumie dm mkuu, nikampostie kule insta kwenye dm yake, au mfate insta @ Bishopgwajima
Hii ndio maana halisi ya Chama Dola.Polisi wamekuwa misukule ya CCM wnafanyishwa kazi za kipumbavu kabisa.
Kazi nyingine ipi tena?Hivi hawa polisi hawana kazi nyingine