Njia inayoingia kwenye Kanisa la Gwajima imefungwa; Polisi wanazuia kupita

Njia inayoingia kwenye Kanisa la Gwajima imefungwa; Polisi wanazuia kupita

Mwamposa ni pro-CCM huyo. Juzi nilimwona kikao cha CCM Dodoma. Kiongozi yeyote wa Dini asiyeweza kemea maovu yanayofanywa na Serikali kwa watu wake HAFAI. He's just after money n' nothing else!!!
Kwao waumini wanataka CCM au wanataka upako?
 
Hao polisi watakaa hapo hadi lini?

Haya ni matumizi mabaya kabisa ya fedha za walipa kodi. Watawala hawana huruma kabisa na fedha za walipa kodi.
 
Bora kua Jobless kuliko kuwa Polisi .
images (28).jpeg
 
Hao polisi watakaa hapo hadi lini?

Haya ni matumizi mabaya kabisa ya fedha za walipa kodi. Watawala hawana huruma kabisa na fedha za walipa kodi.
ni matumizi sahihi sana, tena wamechelewa mno kumdhibiti huyu TAPELI, aliye ji-camouflage kwenye siasa na dini
 
Kwanini wasimwite kituoni kama nia yao ni kumkamata? Kosa ni Gwajima au kanisa? (Kama lipo anyway) waache waumini wafanye mambo yao ya kiimani si kuna wachungaji na maaskofu wengine hapo?
Gwajima muoga atoke wamkamate

Yesu mwenyewe alipofuatwa na askari kumkamata aliwauliza mnamtafuta nani wa kumkamata? Wakasema ni wewe.Akasema ni mimi hapa nikamateni

Gwajima si alisema haogopi mtu atoke humo kanisani akamatwe
 
Hapo ni per diem zinaliwa burebure. Kodi zetu wenyewe, ndiyo zinafanya raia wapigwe, wakamatwe, wauliwe!!!
 
Wanataka kumyamazisha gwajima kabla hajaliambia taifa ukweli!

Mamaenu sasahivi moja haikai!, mbili haikai! Tumbo joto!
mama mpuuzi hadi basi....akili ya kitoto hata kichaa anagundua......yaani anatumia kodi zetu vibaya...perdium za mapolisi, mafuta na allowances za polisi kwa mambo yake ya uwoga uwoga
 
Wakati wagonjwa wanahangaika kupata dawa mahospitalini, Samia anatumia hela zetu kwa manufaa yake na genge la wahuni!! hii haikubaliki!! hivi tumelogwa na nani!?
Mi nilizani ndio pa kuwashia pamepatikana ,kumbe bado tuko na woga!!
 
Keshatoka muda mrefu sana, Gwajima hayupo ndani ya kanisa
Kuna handaki ndani ya kanisa?
Kulikuwa na fununu hizo pia kuwa kulikuwa na vikao usiku vya kujadili kupindua nchi
Itajulikana tu kama katoroka kapitia wapi
 
Wakati wagonjwa wanahangaika kupata dawa mahospitalini, Samia anatumia hela zetu kwa manufaa yake na genge la wahuni!! hii haikubaliki!! hivi tumelogwa na nani!?
Mi nilizani ndio pa kuwashia pamepatikana ,kumbe bado tuko na woga
 
Hapo ni per diem zinaliwa burebure. Kodi zetu wenyewe, ndiyo zinafanya raia wapigwe, wakamatwe, wauliwe!!!
ni matumizi sahihi ya kodi kupambana na fraudsters/imposters, kama anamtegemea Mungu mbona sala zake zimefeli kusimamisha hilo zoezi la Polisi???
Amwulize tapeli mwenzie KAKOBE, alitoroka mapema kuogopa confrontation
 
mama mpuuzi hadi basi....akili ya kitoto hata kichaa anagundua......yaani anatumia kodi zetu vibaya...perdium za mapolisi, mafuta na allowances za polisi kwa mambo yake ya uwoga
ni matumizi sahihi ya kodi na nguvu, GWAJ BOY ni mhalifu/fraudster, alijisahau sana
 
Inawezekana kabisa kwamba Gwajima ana ukweli zaidi ambao bado hajausema na CCM wanataka kuhakikisha wanamzima kabla hajakichafua zaidi ya hapa
 
Back
Top Bottom