Hapo kosa ni kukana taarifa za kufungwa kwa kanisa na kuendelea na shughuli za kanisa hata baada ya usajili wa kanisa kufutwa. Tuheshimu sheria hakuna aliye juu ya sheriaKwanini wasimwite kituoni kama nia yao ni kumkamata? Kosa ni Gwajima au kanisa? (Kama lipo anyway) waache waumini wafanye mambo yao ya kiimani si kuna wachungaji na maaskofu wengine hapo?
KabisaBora kua Jobless kuliko kuwa Polisi .
Hivi mwana CCM mwenzangu, huoni hapa kuna tatizo. Kwa huyu unaona kosa lake ni nini?Walikatie huduma ya maji na umeme
Anakula na kipofuMwamposa ni pro-CCM huyo. Juzi nilimwona kikao cha CCM Dodoma. Kiongozi yeyote wa Dini asiyeweza kemea maovu yanayofanywa na Serikali kwa watu wake HAFAI. He's just after money n' nothing else!!!
Kwahiyo hata ujenzi wa barabara umesitishwaBaadhi ya waamini na Watu ambao wanaoelekea kwenye Kanisa la Askofu Gwajima au kwenye mwelekeo wa Kanisa hilo lilipo wanazuiwa na kuamriwa na askari kuondoka eneo hilo.
Mpaka majira ya saa tano asubuhi yaleo Juni 3, 2025, askari wenye magari na silaha wamezunguka njia zinaoelekea kwenye Kanisa la Askofu Gwajima.
Mimi chadema ila siungi mkono mambo ya hovyoHivi mwana CCM mwenzangu, huoni hapa kuna tatizo. Kwa huyu unaona kosa lake ni nini?
Unafikiri kukaa kimya wasemaji wa serikali katika haya mambo ni sawa?
Je, nani mkuu wa kaya inayoitwa Tanzania, na kwanini akae kimya wakati kuna uvunjifu wa amani katika kaya yake?
Je, watoto kuhoji ni kosa au kutukana ndiyo kosa. Gwajima amehoji au alimtukana Mkuu wa Kaya?
Je, dini ipo kwa ajili gani kama si kusemea wasioweza kusema na kukemea maovu katika maisha ya wanadamu.
Niishie hapo ili tujibiwe pengine na akina
Kukamata watekajiKazi nyingine ipi tena?
Kweli kabisa. Rahisi sana.Kuna njia rahis sana ya gwajima kutoka hapo
Hakuna mtu wa tatu hapo.Hv hii nguvu inayotumika kumsaka au kumkamata Askofu Gwajima, kwann isielekezwe kuwasaka Wasiojulikana??
Hii nchi inaongozwa na Wendawazimu perce!!
Unayo?,sema bei nijipange nije nichukueUko wapi? 😹
Tena kazi za kujitafutia laana na kichapo kutoka kwa MunguPolisi wamekuwa misukule ya CCM wnafanyishwa kazi za kipumbavu kabisa.
Bei ya kawaida kabisa,tatizo ni hapo kwa to purchase from
Kama mimi eehBora kua Jobless kuliko kuwa Polisi .
Kazi ya Upolisi ni LAANA.Namshukuru Mungu sijawahi kuwa na ndugu au rafiki polisi.