Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
- Thread starter
-
- #61
Mkuu mbona sikuoni kwa group huku
Endelea kuwatapeliππWenzako wapo huku wanachotoa ni shukurani kwa kitendo nachofanya
Karibu mkuu
Mpaka leo kuna watu wanatapeliwa mkuu wanguEndelea kuwatapeliππ
Wengi sana mkuuMpaka leo kuna watu wanatapeliwa mkuu wangu
Kwanin usiweke hizo mbinu hapa hapa?Wakuu nishatoa maelekezo ukituma screenshot jaribu kutuma na namba yako ya wasap...
Hakuna mtu anatapeliwa hapa
Sina mda huu mi millionaire naanzaje kutapeliWengi sana mkuu
Hapana hakuna kitu kama hicho mpaka sasa kwa group wamesema tuendelee kule kuleKwanin usiweke hizo mbinu hapa hapa?
Nakubali Genius mwenyewe wape mbinu watoto wadogo!Kama kijana ambaye hutaki mambo ya kuvuja jasho...
Hutaki kazi ngumu na kazi huna....
Unataka maisha smart ila kazi ngumu hutaki..
Basi hapa panakufaaa takupa mbinu ambazo zitakufanya wewe uwe unapata pesa bila kusumbuka.. sawa blood..
Oky endelea fatilia zaidi kila siku tatoa mbinu tatu ambazo zitafanya wewe kijana upate pesa ukiwa zako umekaa ...
Siku hizi pesa hawatafuti bali wanatega tuu just use brain vizuri kijana....
Kama kuna swali nakaribisha
Wakuu darasa bado linaendelea huku kwa group japo naona kuna ishu naombeni kama unatuma sms ya muhamala basi tuma na namba yako ya wasap ..πππππ
Karibu mkuuNakubali Genius mwenyewe wape mbinu watoto wadogo!
kwa hiyo tufuate ushauri wa akili mbovu mkuu?Akili mbovu
Darasa sh ngapi kwahiyo, namba ya kutuma hela ni ipi......Darasa lishaanza kwa group ya wassap mkuu
Easy bro easy.....usichukulie mambo ya hapa serious kiivyoJamiiForums Paw Maxence Melo hizi nyuzi za aina hii zinakera na zinaonekana za kitapeli. Zinashusha credibility ya hii forum. Mtu anasema analeta mbinu za kupata hela lakini thread inakaa kitapeli tu.
Wacha weeee darasa kwa vitendo au sio, ushaanza kuingiza hela bila jasho.....πWakuu darasa bado linaendelea huku kwa group japo naona kuna ishu naombeni kama unatuma sms ya muhamala basi tuma na namba yako ya wasap ..πππππ