shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 1,570
- 3,129
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣So upo tayali kutega Yass eti
🤣🤣🤣Ila nyie watu kwa kuharibu kampuni za watu.So upo tayali kutega Yass eti
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣So upo tayali kutega Yass eti
🤣🤣🤣Ila nyie watu kwa kuharibu kampuni za watu.So upo tayali kutega Yass eti
Niunge mkuu.Darasa lishaanza kwa group ya wassap mkuu
Mkuu si unataka njia nyepesiDaaah mkuu ebu kuwa makini..😂😂😂
Poor brainAsanteni sana ndgu zangu kwa kuwa na utulivu japo wengi wamekua wana nidhihaki wakizani nipo hapa kutania..
Kwanz kabla sijaanza naomba weka mbali swala lako la imani kuhusu dini ili tuendelee huku mbele sitaki kuulizwa kama utaona dhambi kaa kimya waaache wenye uhitaji.
Pili kuna watu wanasoma id na kuanza kudhihaki wakuu hiyo ni id tuu mtu anapokuja kutoa fursa wee ka kwa kutulia unaweza ukajikuta una saidika hapa bila kuelewa imekuaje kuaje..
Ushawahai jiuliza hawa watu mtaani wanafanya nini mpaka wanamiliki pesa ambazo wewe unahangaika lakini wapi unaishia kuwa wa kawaidda tuu..
Naomba nikusanue kuwa pesa zina channel zake..
Pesa ni kama madini ukipata mkanda tuu wewe kazi yako ni kufatilia tuu mpaka itakapofikia...
Pesa zina roho (pesa inapumua) pesa kama unaichukulia poa na wewe itakuchukulia poa..
Kabla sijafika mbali hakikisha una kadi ya benki kama kijana ambaye unataka mafanikio na hii kadi ya benki itakusaidia hapo mbele...
Nakuja kuanza darasa...
Salamaleko shuka chiniPoor brain🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Alekomoselam DrSalamaleko shuka chini
Kuna Uzi Fulani wa urambo tuliwai kuchati unakumbuka?!Alekomoselam Dr
Unauza tiGo sioKama kijana ambaye hutaki mambo ya kuvuja jasho...
Hutaki kazi ngumu na kazi huna....
Unataka maisha smart ila kazi ngumu hutaki..
Basi hapa panakufaaa takupa mbinu ambazo zitakufanya wewe uwe unapata pesa bila kusumbuka.. sawa blood..
Oky endelea fatilia zaidi kila siku tatoa mbinu tatu ambazo zitafanya wewe kijana upate pesa ukiwa zako umekaa ...
Siku hizi pesa hawatafuti bali wanatega tuu just use brain vizuri kijana....
Kama kuna swali nakaribisha
Wakuu darasa bado linaendelea huku kwa group japo naona kuna ishu naombeni kama unatuma sms ya muhamala basi tuma na namba yako ya wasap ..🙏🙏🙏🙏🙏
Namba ipo pm mkuu kuwa na userious wewe ahahahDarasa sh ngapi kwahiyo, namba ya kutuma hela ni ipi......
Ahahaha mkuu mi ni kijana mpambanajiWacha weeee darasa kwa vitendo au sio, ushaanza kuingiza hela bila jasho.....😂
Coca tena 😂😂😂😂Za ndaaani hilo group upo wewe coca na komwe
Kwanini unafanya hivo.Kafie mbele wewe 😂😂😂
Mimi na wewe nani wakusaidiwa..we mwenye huna mbinu unatakiwa kusaidiwa mbinu
Wenzako walikua wabishi ila mpaka sasa ulizia wapo wapiUkiona mbogo anakuchawishi kwenye fursa
Kaka inawezekana kutengeneza pesa bila kutoka jasho ila inabidi uwe na pesa kwanza na kama hauna hakuna shortcut shajo lazima
Daaah wenzako ndo wanakuacha hvo kesho naanza session 2Kuna kanamna hapa😂😂🙌