Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
- Thread starter
- #121
YAKUZ YAVUZMix by yas . .. inalipa Sana mkuu.
Ila me yang inanipa heshima Kama mwanaume. Bora niuze figo Ila mix yangu ntakufa nayo. 😁🙏😁
YAKUZ YAVUZMix by yas . .. inalipa Sana mkuu.
Ila me yang inanipa heshima Kama mwanaume. Bora niuze figo Ila mix yangu ntakufa nayo. 😁🙏😁
Kuna Uzi Fulani wa urambo tuliwai kuchati unakumbuka?!
Nakumbuka mzee vipi uliwahi kukaa hukoKuna Uzi Fulani wa urambo tuliwai kuchati unakumbuka?!
Daaah 😂😂😂😂🙏🙏🙏🙏Kwa kipi?
Nakuona unapambana bila jasho, utawaibia kina Lucas mwashambwa tu labdaAhahaha mkuu mi ni kijana mpambanaji
YAKUZ YAVUZ
Mkuu njo PMNiunge mkuu.
Kuna wenzako wanapata pesa hawatoi chochote zaidi ni maneno machache tuMkuu si unataka njia nyepesi
Poor brainMkuu njo PM
Karibu kwa fursa billionairePoor brain
Hapana mkuuUnauza tiGo sio
Hii kauli itaku cost mda ambao wenzako wote utawaona wakiwa na pesa zaoNakuona unapambana bila jasho, utawaibia kina Lucas mwashambwa tu labda
Hadi wewe, nikutafutie mshangazi😂😂Niunge mkuu.
Yuvuz Yakuz.Mkuu njo PM
We si upo mkuu.Hadi wewe, nikutafutie mshangazi😂😂
Mimi.siyo mshangaziWe si upo mkuu.
Kwani una miaka mingapi mpaka unajitoa kwenye kundi la mishangaziMimi.siyo mshangazi
Motivation speakers na manabii feki wanajipigia sana hela za wajinga.Watengeneze kikundi,wajikusanye wafike buku moja na kila mmoja awe na ada ya kulipa ili apatiwe darasa.ada ni kidogo shilingi laki moja tu!
Hahaha wapate elimu na mbinu za kutoboa kimaisha bila hustling...
Nimewai kukaa huko.Nakumbuka mzee
Nakumbuka mzee vipi uliwahi kukaa huko
Stori yangu niliyosimulia inahusu huko hata mke wangu niliyomsimulia ni wahukohukoNimewai kukaa huko.
Ulikaa sehemu gani kwa hapo urbNimewai kukaa huko.