Njia Mbali mbali za kupata Pesa bila kuvuja jasho

Njia Mbali mbali za kupata Pesa bila kuvuja jasho

Tayari nishafanya malipo mkuu fanya kuniadd kwa group nichote madini

Ushahidi huu
Screenshot_20250420-091302.jpg
 
Kama kijana ambaye hutaki mambo ya kuvuja jasho...

Hutaki kazi ngumu na kazi huna....

Unataka maisha smart ila kazi ngumu hutaki..

Basi hapa panakufaaa takupa mbinu ambazo zitakufanya wewe uwe unapata pesa bila kusumbuka.. sawa blood..

Oky endelea fatilia zaidi kila siku tatoa mbinu tatu ambazo zitafanya wewe kijana upate pesa ukiwa zako umekaa ...

Siku hizi pesa hawatafuti bali wanatega tuu just use brain vizuri kijana....

Kama kuna swali nakaribisha

Wakuu darasa bado linaendelea huku kwa group japo naona kuna ishu naombeni kama unatuma sms ya muhamala basi tuma na namba yako ya wasap ..🙏🙏🙏🙏🙏
Aahaaaaaa
😀😀😀😀😀😀
 
KUWENI WASTARABU KUNA WATU WANATUMA 20000 ALAFU WANATAKA WAINGWE VIP GROUP HII KITU HAKUNA WAKUU MTANISAMEHE KWA KWELI
 
acha utapeli, mbinu ya kupata pesa ni kufanya kazi kwa juhudi, akili, mbinu madhubuti, kujituma, bidii & maarifa. tofauti na hapo ni JANJA JANJA REPUBLIC tu.
 
acha utapeli, mbinu ya kupata pesa ni kufanya kazi kwa juhudi, akili, mbinu madhubuti, kujituma, bidii & maarifa. tofauti na hapo ni JANJA JANJA REPUBLIC tu.
Wenzako wapo kipindi mda huu changia 5k uje uwone utajiri ulipo mkuu
 
Vincenzo Jr kitendo cha kupita kwa uzi na ujajiunga kwa group wewe unapita na kucheka tuu mi sijapenda...

Mkuu pasaka hii fanya mualiko basi 😂😂😂🙌🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom