Njia Mbali mbali za kupata Pesa bila kuvuja jasho

Njia Mbali mbali za kupata Pesa bila kuvuja jasho

KUWENI WASTARABU KUNA WATU WANATUMA 20000 ALAFU WANATAKA WAINGWE VIP GROUP HII KITU HAKUNA WAKUU MTANISAMEHE KWA KWELI
Hahahaha eti watu wanatuma elfu 20 ila wewe hauzitaki.
Uzi umekaa kimkakati sana.

Anyways... Ungelipia hela ya kutangaza tangazo lako la biashara pia
 
Hahahaha eti watu wanatuma elfu 20 ila wewe hauzitaki.
Uzi umekaa kimkakati sana.

Anyways... Ungelipia hela ya kutangaza tangazo lako la biashara pia
Screenshot_20250420-091302.jpg

Kuna mda ngoja nisiongee ila massage ndio ziongee mkuu...
Sipo hapa kutapeli mtu.
Kuna watu wanataka watu kwa group la kwanza wapungue maana naelekea kipindi cha pili ambacho wengi wameona watu ambao sio seriously watoke kuna watu wanapata somo wanaenda kutoa taarifa njee angalia kuna nyuzi nyingi zimeanza kufunguliwa kutokana na madini nayotoa mkuu...
 
Kama kijana ambaye hutaki mambo ya kuvuja jasho...

Hutaki kazi ngumu na kazi huna....

Unataka maisha smart ila kazi ngumu hutaki..

Basi hapa panakufaaa takupa mbinu ambazo zitakufanya wewe uwe unapata pesa bila kusumbuka.. sawa blood..

Oky endelea fatilia zaidi kila siku tatoa mbinu tatu ambazo zitafanya wewe kijana upate pesa ukiwa zako umekaa ...

Siku hizi pesa hawatafuti bali wanatega tuu just use brain vizuri kijana....

Kama kuna swali nakaribisha

Wakuu darasa bado linaendelea huku kwa group japo naona kuna ishu naombeni kama unatuma sms ya muhamala basi tuma na namba yako ya wasap ..πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

View attachment 3310019
Chifu gudilavu in the making.
 
Mnataka mtongozane kwa uzi wangu
Kwa hiyo linakutoa roho la watu kufanyia mambo yao kwenye uzi wako!😁😁😁😜
Unalalamika kwa hii soft copy system, je ingelikuwa kwenye mjengo wako unaweza kukaribisha watu wakasocialize kweli?
 
Kwa hiyo linakutoa roho la watu kufanyia mambo yao kwenye uzi wako!😁😁😁😜
Unalalamika kwa hii soft copy system, je ingelikuwa kwenye mjengo wako unaweza kukaribisha watu wakasocialize kweli?
Ahahahhaha staki hayo mambo nyumbani kwangu aiseee naweza piga mtu mimi
 
Hyo Screenshot ya malipo ni feki ,hakuna namba yenye code ya 0725 na pia risiti za tigo zina digits 12 yako ina digits 15.
Mkuu karibu sana sana sana
Nashukuru kwa kuunga mkono jambo langu...
Mpaka sasa tushajaa kwa group la normal ila VIP bado lipo wazi karibu sana mkuu
 
Mkuu karibu sana sana sana
Nashukuru kwa kuunga mkono jambo langu...
Mpaka sasa tushajaa kwa group la normal ila VIP bado lipo wazi karibu sana mkuu
Sasa mkuu kwenye Due Diligence tu umefeli sasa utanishawishi vipi niingie?

Hakuna namba inayoanza na 0725 ,risiti za tigo zina digits 14 na si 15
 
Sasa mkuu kwenye Due Diligence tu umefeli sasa utanishawishi vipi niingie?

Hakuna namba inayoanza na 0725 ,risiti za tigo zina digits 14 na si 15
Achana na hiyo sms mkuu hvi unajua dalili moja wapo ya kuwa tajiri ni kutofatilia mambo madogo kama hayo..

Oooh came on.. jiunge sasa mkuu usiwe mtu wa kufatilia hvo wahi somo linaisha saa saba
 
Achana na hiyo sms mkuu hvi unajua dalili moja wapo ya kuwa tajiri ni kutofatilia mambo madogo kama hayo..

Oooh came on.. jiunge sasa mkuu usiwe mtu wa kufatilia hvo wahi somo linaisha saa saba
Huna ndugu ambao wanataka kupata pesa kirahisi na kuwa matajiri? au ushawaunga wote?
 
Huna ndugu ambao wanataka kupata pesa kirahisi na kuwa matajiri? au ushawaunga wote?
Nabii hakubaliki kwao mkuu..
Alafu mkuu mpaka sasa ujaona ushuhuda huko juu watu wakinisifia kwa nyuzi mbali mbali
 
Back
Top Bottom