Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
- Thread starter
- #221
Njo kwa group sio badae tunalaumiana mkuuHata endelea kuwadanganya mie yangu macho
Njo kwa group sio badae tunalaumiana mkuuHata endelea kuwadanganya mie yangu macho
Nimeokoka.Aliyeokoka najua atatulia na mimi hatakuwa na mambo mengi
Wokovu ni nini?Nimeokoka.
Full stop.
Hakuna pesa ya hivyoNjo kwa group sio badae tunalaumiana mkuu
Njoo mkuu hutojutia umeona mwenzak alikua anabisha hv hv ila now kakubaliHakuna pesa ya hivyo
Kuokolewa/kujiokoa dhidi ya jambo fulani kwa mfano ukitekwa na watu wasiojulikana ukiwatoroka basi umejiokoa au umeokoka dhidi ya jambo lile.Wokovu ni nini?
Nani huyo mkuu?Njoo mkuu hutojutia umeona mwenzak alikua anabisha hv hv ila now kakubali
Safi sana kunywa soda hapo kwa mangi ntalipaKuokolewa/kujiokoa dhidi ya jambo fulani kwa mfano ukitekwa na watu wasiojulikana ukiwatoroka basi umejiokoa au umeokoka dhidi ya jambo lile.
Haya niambie sasa Kama nimekidhi vigezo vyako ama la.Safi sana kunywa soda hapo kwa mangi ntalipa
Mpaka sasa group ya VIP aliyeongezeka ni mmoja tuu kaka angu King Kong IIINani huyo mkuu?
HongeraMpaka sasa group ya VIP aliyeongezeka ni mmoja tuu kaka angu King Kong III
Hebu tulioneWakuu karibuni pilau
Ukichangia hakikisha unatuma sms ya kuhamala na namba yako ya wasapHongera
Nimemaliza chap maana oooh aiseeee nimekula sijapiga picha mkuu..Hebu tulione
Haya ni bei gani😁😁Ukichangia hakikisha unatuma sms ya kuhamala na namba yako ya wasap
Heeee! Makubwa😁😁😁Nimemaliza chap maana oooh aiseeee nimekula sijapiga picha mkuu..
Ila nimekula chap maana kuna mdada nae ataleta sasa akikuta nakula hapa atajua nimepata kwa mdada mwingine hv nimefanya fyuuuuuuuuu
Noma sana.....Ukichangia hakikisha unatuma sms ya kuhamala na namba yako ya wasap
Jiunge na Group la WhatsApp kwa Ajili ya kupata pesa bila kuvuja jasho...Haya ni bei gani😁😁