Njia Mbali mbali za kupata Pesa bila kuvuja jasho

Njia Mbali mbali za kupata Pesa bila kuvuja jasho

Nabii hakubaliki kwao mkuu..
Alafu mkuu mpaka sasa ujaona ushuhuda huko juu watu wakinisifia kwa nyuzi mbali mbali
Mimi nisharidhika na biashara zangu za kuchoma mkaa ,sitaki utajiri ,hizi hizi buku buku zinanitosha,...wewe na wana group wenzako mkiwa matajiri inatosha.
 
Kama kijana ambaye hutaki mambo ya kuvuja jasho...

Hutaki kazi ngumu na kazi huna....

Unataka maisha smart ila kazi ngumu hutaki..

Basi hapa panakufaaa takupa mbinu ambazo zitakufanya wewe uwe unapata pesa bila kusumbuka.. sawa blood..

Oky endelea fatilia zaidi kila siku tatoa mbinu tatu ambazo zitafanya wewe kijana upate pesa ukiwa zako umekaa ...

Siku hizi pesa hawatafuti bali wanatega tuu just use brain vizuri kijana....

Kama kuna swali nakaribisha

Wakuu darasa bado linaendelea huku kwa group japo naona kuna ishu naombeni kama unatuma sms ya muhamala basi tuma na namba yako ya wasap ..🙏🙏🙏🙏🙏

View attachment 3310019
Pesa haiwezi kununua utu
 
Mimi nisharidhika na biashara zangu za kuchoma mkaa ,sitaki utajiri ,hizi hizi buku buku zinanitosha,...wewe na wana group wenzako mkiwa matajiri inatosha.
Mkuu hakuna mtu asiyetaka utajiri kama hutaki basi jua una matatiz ya akili..

Hutaki kumiliki gari
Hutaki kumiliki nyumba
It's okay kuna watu washanifata pm wanasema niachane na weww haupo seriously ila mimi staki nikunyime fursa kama mwana jamii mwenzangu
 
Hard work does not necessarily pay ukitaka kupata pesa wewe fanya / toa / tekeleza jambo ambalo mtu / watu wenye pesa kwa wakati huo wanaweza wakabadilisha hayo makaratasi yao na hicho kitu (iwe ni bidhaa, service, utapeli au chochote kile) na kama hawawezi kukupa hizo pesa unaweza ukazichukua be it ulaghai au wizi...
Exactly 💯
 
Mkuu hakuna mtu asiyetaka utajiri kama hutaki basi jua una matatiz ya akili..

Hutaki kumiliki gari
Hutaki kumiliki nyumba
It's okay kuna watu washanifata pm wanasema niachane na weww haupo seriously ila mimi staki nikunyime fursa kama mwana jamii mwenzangu
Ukiona unaitwa kwenye fursa basi jua wewe ndiyo fursa.
 
Back
Top Bottom