Njia Mbali mbali za kupata Pesa bila kuvuja jasho

Vijana wa kisasa asilimia kubwa wanapumuliwa visogoni kwakupenda urahisi,, ikumbukwe kwamba uzembe na tamaa vimewagharimu vijana wengi!
 
Poor brain
 
Unauza tiGo sio
 
SAMAHNI KWA WAKUU HUMU NDANI..
KUTOKANA NA MAJUKUMU YA HAPA NA PALE NIKAPOTEA KWA MDA JAPO NIMEKUTANA NA JAM YA WATU PM..

NIMETOA ANGALIZO KWA WALE WANAOTUMA PESA HAKIKISHA UNATUMA NAMBA YA WASAP NA SMS YA MUAMALA ILI NIKUUNGE

DARASA LIMEENDA VIZURI KWA LEO JAPO WENGI WALIJUA UTAPELI ILA KWA WALE AMBAO WAMEPATA DARASA NAIMANI KUNA KITU WAME GAIN. πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

MUDA NI ULE ULE SA MBILI MPAKA SAA SABA TAKUA NATOA DARASA..

SIJAOMBA PESA YA MTU ILA NI NYIE WENYEWE MMENITOA HUMU MKASEMA TUINGIE WASAP.. SASA KADRI UNAVYOCHELEWA NA DAU LITAPANDA NAHITAJI U SERIOUSLY 5K NDIO BEI YA KUINGIA KWA GROUP..

YAKUZ YAVUZ
 
Hata shoga lazima akatike kiuno,kwa kifupi ukizaliwa men ,hakuna rangi utaacha kuona
 
Ukiona mbogo anakuchawishi kwenye fursa

Kaka inawezekana kutengeneza pesa bila kutoka jasho ila inabidi uwe na pesa kwanza na kama hauna hakuna shortcut shajo lazima
Wenzako walikua wabishi ila mpaka sasa ulizia wapo wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…