Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
Hakuna,sema wananyonya anasiWengi hawapigi mswaki ulimi
Nilimaanisha Kwamba harufu ya mdomo inatoka kwenye ulimiHakuna,sema wananyonya anasi
Akiniacha tena! eh haya.Mwambie tu mdomo unanuka ,kwanini kujiumiza pasipo sababu...
Akikuacha hakuwa wako huyo
Ndiyo,kama rafiki akikuacha kwa kumwambia ukweli basi tambua hakuwahi kuwa rafikiAkiniacha tena! eh haya.
Nami nimesema hakuna mkuuNilimaanisha Kwamba harufu ya mdomo inatoka kwenye ulimi
PoaNami nimesema hakuna mkuu
Ahaa sawa.Ndiyo,kama rafiki akikuacha kwa kumwambia ukweli basi tambua hakuwahi kuwa rafiki
ππππππππππππWe ilikuwaje mpaka ukasogeza mpua wako kwenye domo lake? π³
π€£π€£π€£π€£@Tajiri SinabayNjia nzuri ni kumwambia moja kwa moja au kama ni mchafumchafu basi mzomee kabisa ndio atabadilika
Cologate moja na MSWAKI wa WisdomNa vile masikini walivyo na nguvu anaweza kuniuwa.
Hasa hiki kipindi cha mfungo, watu vinywa vinanuka kama vyoo vya stendiTajiri huwa haongei sana.
inajulikana masikini wana hasira za haraka mno, nahofia nisije kutumia njia ya kawaida tu kumwambia huyu mtu nikashangaa ananipiga kabali. Na vile masikini walivyo na nguvu anaweza kuniuwa.