Mfanyie hivyo akupige denda🤣🤣🤣🤣@Tajiri Sinabay
😆😆😆We ilikuwaje mpaka ukasogeza mpua wako kwenye domo lake? 😳
Hapa unasingizia shem 🤤Hakuna,sema wananyonya anasi
Umefanya research vituo vingapi vya bodaboda?Hii ni kero hasa kwa bodaboda nyakati za asubuhi wananuka midomo
You can brush the teeth but the smell will come from the tongue or koo
DendaWe ilikuwaje mpaka ukasogeza mpua wako kwenye domo lake? 😳
TrueYou can brush the teeth buth the smell will come from the tongue or koo
PoaYou can brush the teeth buth the smell will come from the tongue or koo
Kuna huyo mmoja nilimwambia awe anakunywa chai ya moto asubuhi hakunielewa, mwambie aache matumizi na vitu vya baridiTajiri huwa haongei sana.
inajulikana masikini wana hasira za haraka mno, nahofia nisije kutumia njia ya kawaida tu kumwambia huyu mtu nikashangaa ananipiga kabali. Na vile masikini walivyo na nguvu anaweza kuniuwa.
Kupendelea kunywa vinywaji vyenye sukari nyingi za viwandani (hasa energy drink) hupelekea tatizo hili hata upige mswaki.Wengi hawapigi mswaki ulimi
Naona nimegonga palipo na mshonoUmefanya research vituo vingapi vya bodaboda?
Acha utotoTajiri huwa haongei sana.
inajulikana masikini wana hasira za haraka mno, nahofia nisije kutumia njia ya kawaida tu kumwambia huyu mtu nikashangaa ananipiga kabali. Na vile masikini walivyo na nguvu anaweza kuniuwa.
Umewapiga palipong'olewa jinoNaona nimegonga palipo na mshono
Wengine hata chupi zao mkuu huwezi tofautisha harufu ya chupi, mfereji na kinywaHii ni kero hasa kwa bodaboda nyakati za asubuhi wananuka midomo
We mchane tu. Mwambie Midomo huwa inanuka ila huu wako umewazidi woteTajiri huwa haongei sana.
inajulikana masikini wana hasira za haraka mno, nahofia nisije kutumia njia ya kawaida tu kumwambia huyu mtu nikashangaa ananipiga kabali. Na vile masikini walivyo na nguvu anaweza kuniuwa.
Anakuwa anamwaga moto huku akikuneemesha na kismellHii ni kero hasa kwa bodaboda nyakati za asubuhi wananuka midomo
Poa mkuu.Kuna huyo mmoja nilimwambia awe anakunywa chai ya moto asubuhi hakunielewa, mwambie aache matumizi na vitu vya baridi