Njia nzuri ya kumwambia mtu anaetoa harufu mbaya (kali) mdomoni na asikasirike

Tajiri huwa haongei sana.

inajulikana masikini wana hasira za haraka mno, nahofia nisije kutumia njia ya kawaida tu kumwambia huyu mtu nikashangaa ananipiga kabali. Na vile masikini walivyo na nguvu anaweza kuniuwa.
Samahani kidogo mtoa mada nipo nje ya mada kidogo
Nakodisha chumba kilicho karibu na VETA, kwa mwenye uhitaji anicheki PM
 
Tajiri huwa haongei sana.

inajulikana masikini wana hasira za haraka mno, nahofia nisije kutumia njia ya kawaida tu kumwambia huyu mtu nikashangaa ananipiga kabali. Na vile masikini walivyo na nguvu anaweza kuniuwa.
*hivi Unatuma dawa gani kupiga mswaki".
 
Back
Top Bottom