Hivi hawajagundua hili la usafi huvutiaWengine hata chupi zao mkuu huwezi tofautisha harufu ya chupi, mfereji na kinywa
Nahofia tu, kwa vile masikini wanachukia sana ukweli.Mbona kabališ¤£
Ukutane na mwanamke muongeaji halafu mbishi mwenye kinywa cha hivyoHii ni kero hasa kwa bodaboda nyakati za asubuhi wananuka midomo
Anakuwa anamwaga moto huku akikuneemesha na kismell
Siku hizi kuna wanawake wanaofanya kazi ya boda boda??Ukutane na mwanamke muongeaji halafu mbishi mwenye kinywa cha hivyo
Umemaliza yote, sure shida iko hapa tu. Na bahati mbaya mtu anaweza asijue kama ana hilo tatizo la kinywa.Wengi hawapigi mswaki ulimi
Wengi tuSiku hizi kuna wanawake wanaofanya kazi ya boda boda??
Sijabahatika kukutana naoWengi tu
Acha tabia hiyoš¤£Hapa unasingizia shem š¤¤
Hii tabia sina ila harufu ya mdomo haisababishwi na ulichosemaAcha tabia hiyoš¤£
Search hapa hapa JF kuna thread nyingi sana na zenye maelezo mazuri. Swali limeshaulizwa sana hili.Tajiri huwa haongei sana.
inajulikana masikini wana hasira za haraka mno, nahofia nisije kutumia njia ya kawaida tu kumwambia huyu mtu nikashangaa ananipiga kabali. Na vile masikini walivyo na nguvu anaweza kuniuwa.
HeheheHii ni kero hasa kwa bodaboda nyakati za asubuhi wananuka midomo
Hiki kicheko mmmmHehehe
Sawa kiongozi.Kama ni rafiki yako unamwambia live,urafiki kusaidiana
Maana jambo lake linakuhusu pia
Kina niniHiki kicheko mmmm