Nakazia.Wengi hawapigi mswaki ulimi
😂😂😂😂😂We ilikuwaje mpaka ukasogeza mpua wako kwenye domo lake? 😳
Ni bora umwambie kwa staha kwani kutoa harufu mdomoni ni tatizo linalowasumbua watu wengi bila mapenzi yao.Tajiri huwa haongei sana.
inajulikana masikini wana hasira za haraka mno, nahofia nisije kutumia njia ya kawaida tu kumwambia huyu mtu nikashangaa ananipiga kabali. Na vile masikini walivyo na nguvu anaweza kuniuwa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣We mwambie tu kamdomo kamdomo🤣🥶
Chat gpt🥶Ni bora umwambie kwa staha kwani kutoa harufu mdomoni ni tatizo linalowasumbua watu wengi bila mapenzi yao.
Ni ugonjwa kama yalivyo magonjwa mengine. Hivyo lazima kuchukua tahadhari unapotaka kufanya hivyo. Maana hujui atachukuliaje.
Kwa kifupi harufu mbaya ya mdomo (halitosis) ni tatizo linalowakumba watu wengi, na mara nyingi husababishwa na sababu mbalimbali kama vile:
- Usafi duni wa kinywa (kutopiga mswaki mara kwa mara au kutotumia uzi wa meno - dental floss)
- Matatizo ya fizi kama gingivitis au periodontitis
- Kula vyakula vyenye harufu kali kama vitunguu na vitunguu saumu
- Ukavu wa kinywa (dry mouth) unaosababishwa na upungufu wa mate
- Matatizo ya kiafya kama maambukizi ya koo, matatizo ya tumbo (acid reflux), au hata kisukari
Kwa kuwa ni tatizo linalowakumba watu wengi, kumwambia rafiki yako kwa njia ya heshima na msaada kunaweza kumsaidia kutafuta suluhisho bila kujiona vibaya. Unaweza pia kupendekeza akamwone daktari wa meno ikiwa harufu inaendelea hata baada ya kuzingatia usafi wa kinywa.
Cha msingi chukua tahadhari ili rafiki yako asione unamkejeli
Asante mkuuNi bora umwambie kwa staha kwani kutoa harufu mdomoni ni tatizo linalowasumbua watu wengi bila mapenzi yao.
Ni ugonjwa kama yalivyo magonjwa mengine. Hivyo lazima kuchukua tahadhari unapotaka kufanya hivyo. Maana hujui atachukuliaje.
Kwa kifupi harufu mbaya ya mdomo (halitosis) ni tatizo linalowakumba watu wengi, na mara nyingi husababishwa na sababu mbalimbali kama vile:
- Usafi duni wa kinywa (kutopiga mswaki mara kwa mara au kutotumia uzi wa meno - dental floss)
- Matatizo ya fizi kama gingivitis au periodontitis
- Kula vyakula vyenye harufu kali kama vitunguu na vitunguu saumu
- Ukavu wa kinywa (dry mouth) unaosababishwa na upungufu wa mate
- Matatizo ya kiafya kama maambukizi ya koo, matatizo ya tumbo (acid reflux), au hata kisukari
Kwa kuwa ni tatizo linalowakumba watu wengi, kumwambia rafiki yako kwa njia ya heshima na msaada kunaweza kumsaidia kutafuta suluhisho bila kujiona vibaya. Unaweza pia kupendekeza akamwone daktari wa meno ikiwa harufu inaendelea hata baada ya kuzingatia usafi wa kinywa.
Cha msingi chukua tahadhari ili rafiki yako asione unamkejeli
Kimebeba mengi huenda unakubaliana na nilicho kisema au wew ni mmoja wa wahusika niliowazungumzia🤣🤣🤣Kina nini
Sikubaliani na ulichokisema sababu sina ushahidi nacho na wala mimi si mmoja wa wahusika.Kimebeba mengi huenda unakubaliana na nilicho kisema au wew ni mmoja wa wahusika niliowazungumzia🤣🤣🤣
😂😂😂😂 sasa kuna haja gani ya kuficha bora kusema ukweli wajirekebisheSikubaliani na ulichokisema sababu sina ushahidi nacho na wala mimi si mmoja wa wahusika.
Ila kilichonichekesha jinsi ulivyoongea waziwazi bila kificho
Eti "wananuka midomo"🤣🤣🤣
Hebu rudia tena kusema😃😀😄😂😂😂😂 sasa kuna haja gani ya kuficha bora kusema ukweli wajirekebishe
🤣🤣🤣🤣sitaki kwann nirudieHebu rudia tena kusema😃😀😄
😂😂Hii ni kero hasa kwa bodaboda nyakati za asubuhi wananuka midomo
Wakusikie vizuri hawajakusikia🤣🤣🤣🤣sitaki kwann nirudie
Alaf hawajishtukii ata…Anakuwa anamwaga moto huku akikuneemesha na kismell
Turu juu ya ngeuNaona nimegonga palipo na mshono
Wakusikie vizuri hawajakusikia
Unaweza rudia hata wew na wakakusikia vizuri tu
Sawa madam nitarudia mimi🤣🤣🤣🤣sitaki kwann ninirudie
Fanya haraka kabla hawajapitiwa na usingiziSawa madam nitarudia mimi