Wakati wabongo wakiwa busy kulaumiana kuhusu Panya Road, tozo, kuendekeza siasa uchwara na kuangalia video za porn ili baadae wakajichue.
Kwa upande wa Burundi maelfu kwa maelfu wanazidi kujilipua katika nchi mbali mbali za Ulaya kupitia Serbia.
Kinachotakiwa ni wewe kuwa na passport ya Burundi na 1300 usd mkononi tu.
Warundi wanazidi kumiminika ulaya kupitia njia hiyo, na nasikia kuna baadhi ya wabongo ambao wamekuwa wakivuka boda kuingia Burundi, wakishafika huko wanatafuta passport za kirundi za kusafiria kwa njia wanazozijua wao na hatimae kuondoka.
Huu ni mtonyo na tayari nimeshashuhudia baadhi ya warundi wakirudi kwao ili kwenda kujiandaa na mipango hiyo ya safari.
Kwahiyo kama kuna mbongo yoyote anaujua mchongo huu basi aje aeleze na yeye mawili matatu anayoyajua kuhusu safari hizi.
Hapo chini ni video ya warundi walioingia Serbia kupitia airport ya nchi hiyo.
Wakati wabongo wakiwa busy kulaumiana kuhusu panya road, tozo na kuendekeza siasa uchwara.
Kwa upande wa Burundi maelfu kwa maelfu wanazidi kujilipua katika nchi mbali mbali za ulaya kupitia Serbia.

Hii ni ngumu kwa mbongo asiejuwa atafikiwa wapi huko Burundi hadi mipango yake iweze kutimia, unless awe na mtu wa kumpokea na kumuweka kwa muda wote atakaokuwa pale.

Ya ni kweli kama hauna mwenyeji ni shida. Lkn hawa warundi wao wakishafika huko wanaomba hifadhi ya ukimbizi kwahiyo kila atakaekubaliwa kupewa hifadhi ya kikimbizi atapewa mahali salama pa kuishi, pia swala la malazi, mavazi, maradhi, kula nk ni majukumu ya UN na umoja wa ulaya.
Nchi za watu wamejipanga, Juzi Hurricane Fiona imepiga hapa, kila familia iliyopata madhara wamepewa $1,000 wakati kuna nchi waliambiwa kwani tetemeko nimeleta mimi
Wakati wabongo wakiwa busy kulaumiana kuhusu Panya Road, tozo na kuendekeza siasa uchwara.