Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Habari zenu wana JF wenzangu,
Wakati wabongo wakiwa busy kulaumiana kuhusu Panya Road, tozo, kuendekeza siasa uchwara na kuangalia video za porn ili baadae wakajichue.
Kwa upande wa Burundi maelfu kwa maelfu wanazidi kujilipua katika nchi mbali mbali za Ulaya kupitia Serbia.
Kinachotakiwa ni wewe kuwa na passport ya Burundi na 1300 usd mkononi tu.
Warundi wanazidi kumiminika ulaya kupitia njia hiyo, na nasikia kuna baadhi ya wabongo ambao wamekuwa wakivuka boda kuingia Burundi, wakishafika huko wanatafuta passport za kirundi za kusafiria kwa njia wanazozijua wao na hatimae kuondoka.
Huu ni mtonyo na tayari nimeshashuhudia baadhi ya warundi wakirudi kwao ili kwenda kujiandaa na mipango hiyo ya safari.
Kwahiyo kama kuna mbongo yoyote anaujua mchongo huu basi aje aeleze na yeye mawili matatu anayoyajua kuhusu safari hizi.
Hapo chini ni video ya warundi walioingia Serbia kupitia airport ya nchi hiyo.