Njia pekee nyepesi ya kuingia Ulaya kwa wale wanaohitaji kujilipua ni hii...

Njia pekee nyepesi ya kuingia Ulaya kwa wale wanaohitaji kujilipua ni hii...

UK afadhali,mtu anaweza fanya kazi hata kama hana legal permit. Tatizo UK ni visiwa. Kuingia huko ni ngoma nzito. Na kupata visa na kwenyewe si rahisi kihivyo.
Wewe ulipataje visa, uliingiaje..? Na je kwasasa vijana wa Tz wanaweza kifuata taratibu zipi wakaingia na kutafuta maisha..?

Toa hizo njia ngumu unazozizungumzia fungukaaa!
 
Kanada napatamani sana kuna ndugu yangu yupo huko hataki ujamaa kabisa na mtu,naskia ukiwa na ndugu ni rahisi kupata vibali...maana ni nchi kubwa na unahitaji watu.
Tafuta walau 6mil+nauli uende huko, ukipata resident permit jua kabisa unawatangenezea future watoto wako/family yako yote
 
Acheni masikhara basi kuwa na million sita kwa kijana wa bongo kisa kusafiri ulaya ni ngumu maana hata ukishika hiyo pesa kwa hapa bongo kuna fursa nyingi na nzuri kuliko huko ulaya..
Unaweza kupewa hiyo 6mil ya hapa bongo na bado isikufikishe popote! Vijana wengi wana malengo na ndoto lakini wanakosa plans/mipango madhubuti! ,

Na hta kama ana plans basi ni mawazo tu yapo kichwani shallow shallow, hana mikakati yyte!
 
Kuna kiongozi alisema vijana bora ufungue genge la milioni 3 bongo utatoboa kuliko wenda ulaya kutafuta maisha.
Endelea kumsikiliza huyo kiongozi wako, utatoboa.
Genge la mil 3 linalipa sana "hizo ndio fursa za bongo" lazima utoboe hadi watu washangae muuza genge now anamiliki Bmw
 
Mm ndo nimeingia muda so mrefu Ila mambo bado siyaelewi ulaya hii nilikuwa nikiiskia na kuiona kwa picha Sasa naishuhudia kwa macho yangu na nikiw na akil timamu kabisa bado mambo siyaelewi kabisa maisha yanakuwa magumu najarbu kutafuta connection ya wabongo wenzangu sipati na winter inakarbia muda so mrefu nakata tamaa kabisa yaan.

#Ushauri usiuze nyumba ama asset yako kwa ajil ya kuja ulaya tulia kwako pambana na ufanye maisha rizki n popote muhimu ni juhudi tu
Kumbuka upo hapo kuipambania familia yako , yawezekana wewe usione mfanaikio uliyoyatarij kwa uharaka lakini ukatengeneza njia kwa kizazi chako!
 
Wewe ulipataje visa, uliingiaje..? Na je kwasasa vijana wa Tz wanaweza kifuata taratibu zipi wakaingia na kutafuta maisha..?

Toa hizo njia ngumu unazozizungumzia fungukaaa!
Mimi nilipata ufadhili wa kwenda kusoma huko. Isingekuwa shule nisingekwenda. Wakomae watafute ufadhili wa kwenda kusoma, wakimaliza shule watafute kazi huko au warudi home.
 
Mimi nilipata ufadhili wa kwenda kusoma huko. Isingekuwa shule nisingekwenda. Wakomae watafute ufadhili wa kwenda kusoma, wakimaliza shule watafute kazi huko au warudi home.
Sawa wape muongozo wa namna gani unaweza pata ufadhili wa kwenda kusoma nje!
Shukrani
 
Sawa wape muongozo wa namna gani unaweza pata ufadhili wa kwenda kusoma nje!
Shukrani
Hapo bongo uwe umesoma kwanza.Umeamaliza chuo kikuu. Kama si hivyo basi kazamie na wa west africans kule Libya kwa bahari kwenda ulaya.Ila huko ni kufa na kupona si safe ila wapo wanaofanikiwa.
 
Hii ni ngumu kwa mbongo asiejuwa atafikiwa wapi huko Burundi hadi mipango yake iweze kutimia, unless awe na mtu wa kumpokea na kumuweka kwa muda wote atakaokuwa pale.
Waburundi wanatuheshimu sana na wengi wanaongea kiswahili. We ukifika pale usiĵifiche wambie kabisa we ni mtanzania utapewa hifadhi na yeyote
 
Sijui tunakwama wapi aisee,jamaa atakua na darasa tarehe 1 okt ubungo plaza nadhani kufundisha namna ya kuomba green card,muitiko ni sifuri bado,naona wakenya wamemuita kabisa aende kenya kuwafundisha,jana jamaa nimeona amepost youtube yupo kenya aisee!
ANAITWA NANI HUYO JINA LAKE
 
Mm ndo nimeingia muda so mrefu Ila mambo bado siyaelewi ulaya hii nilikuwa nikiiskia na kuiona kwa picha Sasa naishuhudia kwa macho yangu na nikiw na akil timamu kabisa bado mambo siyaelewi kabisa maisha yanakuwa magumu najarbu kutafuta connection ya wabongo wenzangu sipati na winter inakarbia muda so mrefu nakata tamaa kabisa yaan.

#Ushauri usiuze nyumba ama asset yako kwa ajil ya kuja ulaya tulia kwako pambana na ufanye maisha rizki n popote muhimu ni juhudi tu
Vipi ndugu yangu, unaendeleaje huko
 
Back
Top Bottom