Njia pekee nyepesi ya kuingia Ulaya kwa wale wanaohitaji kujilipua ni hii...

Habari zenu wana JF wenzangu,

Wakati wabongo wakiwa busy kulaumiana kuhusu Panya Road, tozo, kuendekeza siasa uchwara na kuangalia video za porn ili baadae wakajichue.

Kwa upande wa Burundi maelfu kwa maelfu wanazidi kujilipua katika nchi mbali mbali za Ulaya kupitia Serbia.

Kinachotakiwa ni wewe kuwa na passport ya Burundi na 1300 usd mkononi tu.

Warundi wanazidi kumiminika ulaya kupitia njia hiyo, na nasikia kuna baadhi ya wabongo ambao wamekuwa wakivuka boda kuingia Burundi, wakishafika huko wanatafuta passport za kirundi za kusafiria kwa njia wanazozijua wao na hatimae kuondoka.

Huu ni mtonyo na tayari nimeshashuhudia baadhi ya warundi wakirudi kwao ili kwenda kujiandaa na mipango hiyo ya safari.
Kwahiyo kama kuna mbongo yoyote anaujua mchongo huu basi aje aeleze na yeye mawili matatu anayoyajua kuhusu safari hizi.
Hapo chini ni video ya warundi walioingia Serbia kupitia airport ya nchi hiyo.
View attachment 2366842View attachment 2369275
Ninaamini kufanikiwa kupitia ardhi ya nyumbani, Ulaya kitu gani nyie... Mnadhani kwenda kuangalia madhari nzuri za kuoendeza machoni ndo kufanikiwa? Watu wako shambani na wamefanikiwa nyie mnawaza Ulaya
 
Wengi wa waliosema kuwa bongo kuna fursa kibao, ndio hao wameishia kuwa panya road baada ya kuzikosa hizo fursa walizo/wanazozisema mitandaoni.
 
We ni mjinga sana,tu kutafuta maisha na CCM vinashabiiana nini, kweni Kuna chama gani kikiwa madarakani ndo kitafanya vijana wasitafute maisha wake tu na wafanikiwe... Hii ni Afrika masikini na inahitaji bidii ya kila mmoja ktk Afrika na siyo vyama vya Siasa, mijitu mna upuuzi mwingi sana
Hakika mkuu, hapo umemjibu vyema. Swala la utafutaji halihusiani na vyama, bali ni juhudi zako tu bila kujali uko katika chama gani.
 
Mm ndo nimeingia muda so mrefu Ila mambo bado siyaelewi ulaya hii nilikuwa nikiiskia na kuiona kwa picha Sasa naishuhudia kwa macho yangu na nikiw na akil timamu kabisa bado mambo siyaelewi kabisa maisha yanakuwa magumu najarbu kutafuta connection ya wabongo wenzangu sipati na winter inakarbia muda so mrefu nakata tamaa kabisa yaan.

#Ushauri usiuze nyumba ama asset yako kwa ajil ya kuja ulaya tulia kwako pambana na ufanye maisha rizki n popote muhimu ni juhudi tu
 
Mkuu! Hayo yote nimekuachia mwenyewe Ila kuhusu kipengele cha #ushauri umenigusa mno kuanda Safari ya ulaya si chini ya 10m halafu sio kwamba ni guarantee ukifika unapata kazi
#Tips hamna binadamu asiyependa kuishi vizuri tatizo dunia haiko fair wao wanakuja kuchukuwa visa vingunguti tukitaka yao mpaka tupeleke na ma hati muda mwingine
 
Kabisa mkuu , yaan n gharama sana
 
We ni mjinga sana,tu kutafuta maisha na CCM vinashabiiana nini, kweni Kuna chama gani kikiwa madarakani ndo kitafanya vijana wasitafute maisha wake tu na wafanikiwe... Hii ni Afrika masikini na inahitaji bidii ya kila mmoja ktk Afrika na siyo vyama vya Siasa, mijitu mna upuuzi mwingi sana
We kvma na msukule umeumia baada ya kuwananga wapuuz wa CCM wanaokufuga sio .
Nguruwe wewe
 
Mm ndo nimeingia muda so mrefu Ila mambo bado siyaelewi ulaya hii nilikuwa nikiiskia na kuiona kwa picha Sasa naishuhudia kwa macho yangu na nikiw na akil timamu kabisa bado mambo siyaelewi kabisa maisha yanakuwa magumu najarbu kutafuta connection ya wabongo wenzangu sipati na winter inakarbia muda so mrefu nakata tamaa kabisa yaan.

#Ushauri usiuze nyumba ama asset yako kwa ajil ya kuja ulaya tulia kwako pambana na ufanye maisha rizki n popote muhimu ni juhudi tu
We uko nchi gani ? Au ndio wale mnaozamia mtumbwi wa vibwengo kule eastern Europe maana Europe ni kubwa hata Moldova ,Serbia ,Latvia Napo ni Europe , kule fursa ni chache maana kuna vinchi humo vinaishi kwa ruzuku toka serikali ya shirikisho la ulaya EU
 
Unapata $ 50 kwa siku.

Kwa mwezi ni $ 1500.

Unadaiwa Kodi ya kichumba $ 500 kwa mwezi.

Unakula $30 + usafiri kazini .

Utabakiwa na $ ngapi? Kama sio $ 300 au $400?

Au utalala nje ?
Utakula nn?
Husaidii ndugu?
Kazini utatembea kwa mguu?

Ng'ambo maisha ni gharama sio kama bongo.
Hata iweje kwenda ni lazima mkuu ni suala la muda tu
 
uko sahihi mkuu...ila tatizo linakuja hivi...unadhania uko sahihi tuuuu!! Km unavo fikiri...hilo ni kosa mjomba wangu alienda huko akiwa na 50 yrs! Wanae wakamfuata hukoo!! Wakabuni miradi waliyo buni asa hivi wako mbali mnoo! Hawataki kurudi...amini nakwambia misaada ya kuja kwenu africa miaka ijayo itakuwa inapitia mikononi mwa diasporas weusi....walio njema.
Hata hapo nyumbani wapo walioshindwa mbaya..kiasi na zaidi...lkn pia kufirisika ukiwa hapo nyumbani ni rahisi zaidi kuliko kufilisika majuu.....hata usemeje majuu ni majuu tu...km ukiamini nyota itakuwakia....huwezi nambia nikskuelewa eti maisha ya manzese/mbagala/kamunyonge sijui mahurunga kuleee! Eti ni bora kuliko majuu....hata km unaingiza million moja kwa siku ukiwa mtwara.na mie kule canada naingiza elfu 20. Bado canada ni Bora sana tuuu. Ndo tulivyo huku......hatujiiii....kaeni kwa kutulia na vihepe vyenu...ingiza hela zenu muingizavyo lkn hatutaki kurudi....huko tutakuja kutembea tuuu.
Hapa umeongea master
 
Habari zenu wana JF wenzangu,

Wakati wabongo wakiwa busy kulaumiana kuhusu Panya Road, tozo, kuendekeza siasa uchwara na kuangalia video za porn ili baadae wakajichue.

Kwa upande wa Burundi maelfu kwa maelfu wanazidi kujilipua katika nchi mbali mbali za Ulaya kupitia Serbia.

Kinachotakiwa ni wewe kuwa na passport ya Burundi na 1300 usd mkononi tu.

Warundi wanazidi kumiminika ulaya kupitia njia hiyo, na nasikia kuna baadhi ya wabongo ambao wamekuwa wakivuka boda kuingia Burundi, wakishafika huko wanatafuta passport za kirundi za kusafiria kwa njia wanazozijua wao na hatimae kuondoka.

Huu ni mtonyo na tayari nimeshashuhudia baadhi ya warundi wakirudi kwao ili kwenda kujiandaa na mipango hiyo ya safari.
Kwahiyo kama kuna mbongo yoyote anaujua mchongo huu basi aje aeleze na yeye mawili matatu anayoyajua kuhusu safari hizi.
Hapo chini ni video ya warundi walioingia Serbia kupitia airport ya nchi hiyo.
View attachment 2366842View attachment 2369275
hivi hili swala la canada kuitaji watu inakuaje
 
Canada kweli inahitaji watu. Lakini wameweka utaratibu maalum ili kuhakikisha watu wanaoingia huko wanakuwa ni wale sahihi inayowahitaji.

Mfano kwa sasa canada ni nchi ya pili baada ya USA kwa kuchukua wakimbizi kutoka sehemu mbali mbali za dunia. Lakini vilevile wameweka utaratibu mzuri kupitia balozi zao kwa watu wanaohitaji kwenda kusoma, kufanya kazi nk katika nchi hiyo.

Kuhitaji watu haimaanishi kwamba kila mtu ataruhusiwa tu kuingia kama chooni bila kufuata utaratibu unahitajika kwa sababu za kiusalama, kiuchumi na afya kwa ujumla.
 
Sante: Mr Nilicho kuwa najua n kwamba walikuwa wanaitaji watu kwasababu ya kuongeza population tu
ya hii walio kuwa wanaiita (Canada express entry) ?

naomba unisaidie kitu kimoja Naitaji kujua Masharti yao maana niliskia wao kama wao wanashuhulikia Visa

tafaut na hii ulio nijulisha kwenye sala la kusoma au kazi.
 
Angalia hapo chini mkuu 👇
 
Attachments

  • images (15).jpeg
    images (15).jpeg
    32.4 KB · Views: 26
Ulaya kwa sasa hakuna jipya,

Kama una shughuli zako zinazokuingizia kipato hata 20000 kwa siku,

Nakushauri endelea na maisha ya bongo.

Kwa sasa fursa zipo
Japan.
South Korea,
Canada,
Marekani.
Australia,

Maisha ya ulaya kwa sasa ni kupoteza muda wako bure.
Na kazia ,
Canada kupata permanent residence ni rahisi sana ukiwa pale kihalali. Hii ina faida zake.

Marekani U.sS
vibarua vingi tu , dollar bdo ina nguvu pia , wazee wa kusave na kuinvest kutoboa ni faster tu as long as una malengo na mipango madhubuti. Na sio tu "malengo" bila "plans"

Safari zinaendelea... ! We are travelling the world...!
 
Si bora tubaki nchini tufungue genge au banda la chips usiku tunaenda kulala nyumbani na wife, tunajibana tunanunua kiwanja tunajenga nyumba tunakuwa na kwetu kuliko kwenda kulala barabarani ugenini.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
"You think small, and you'll remain small for life"
 
Back
Top Bottom