Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #161
Huyu mkuu wetu Evelyn Salt katushinda tabia 🤣🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mkuu wetu Evelyn Salt katushinda tabia 🤣🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]
uko sahihi mkuu...ila tatizo linakuja hivi...unadhania uko sahihi tuuuu!! Km unavo fikiri...hilo ni kosa mjomba wangu alienda huko akiwa na 50 yrs! Wanae wakamfuata hukoo!! Wakabuni miradi waliyo buni asa hivi wako mbali mnoo! Hawataki kurudi...amini nakwambia misaada ya kuja kwenu africa miaka ijayo itakuwa inapitia mikononi mwa diasporas weusi....walio njema.Sawa mkuu,,
Kwa Kawaida ukweli wa ng'ambo hausemwi.
Usione watu wanarudi na mafanikio Kuna mengi huko usiyoyajuwa.
Maisha hayataki kujaribu haswa ukiwa over 40 years.
Muda wa kujaribu ni under 30.
Hata ukikaa ulaya miaka 20 mengine bila mafanikio bado huna Cha kujutia.
Mimi napenda kueleza ukweli uchungu.
Kama unajipatia kipato kizuri hapa nyumbani usiende kubahatisha maisha ulaya.
Shida ya nyumbani mifumo imewekwa kukubana usitoboe tofauti na Ulaya kule mifumo ndio inakuvuta itoboe. Ccm wanaogopa kutawala watu walioshiba.Kwanini ukahangaike ugenini kama umeshindwa kupambana uwanja wa nyumbani???
Ufafanuzi mzuri sana huu, asiekuelewa basi atakuwa karogwa ili asifikirie nje ya box kuhusu maisha yake.USA ni uaminifu wako tu au upate mdhamini anaetambulika tempo za black market zipo nyingi Sana hizi za kuajiriana bila mifumo ya serikali mfano kuna Mapakistani au Wahindi jioni wanaweka meza nje wanaakaanga vyakula unaweza ukaomba Kazi ya kuosha, kugawa, kupika ni wewe tu dola 10 kwa saa, ukitoka hapo unaenda majumba ya sinema au casino kufanya Kazi za kusafisha huko huko unaweza ukawa unaokota vidola dola vilivyoanguka chini ya siti au yard za magari unaomba Kazi ya kusafisha magari unakamata dola yako 50 unalala, Asubui unaomba Kazi za kuzoa takataka kwenye kampuni za magari taka, au usafi kwenye majengo, au kuosha vyombo, kubeba mabox, au unaweza ukajidhamini kampuni za magari ya ukaomba wakulipie kozi ya udereva kwa makubaliano ukimaliza tu wanakuajiri then wanakata pesa yao kwenye mshahara, au ukachume mboga na matunda au ukalishe mifugo. Nje ukitaka kufanikiwa wekeza Sana kwenye uaminifu usipende shortcut itakula kwako wakikudaka wanakurudisha bongo na wanakublock sahau tena kurudi nchi hio. Bongo ni rahisi Sana kutoboa kupitia Black market fursa zipo tele, kwa njia halali ni ngumu Sana sababu ya mifumo ya kukubana usitoboe sababu watawala hawana confidence ya kuwatawala watu walioshiba so ni lazima wengi wawe masikini Ili iwe rahisi kuwatawala. Mfano tungexport dada zetu wakafanye Kazi uarabuni kwa kuwatengenezea mifumo ya kuwalinda kama walivyofanya nchi ya Filipini wakawa salama kuliko hii ya kuwazuia then huwezi waajiri wanabakia kudanga na kuchakaa tu unakuta mtoto anamzaa mtoto mwingine kwa cycle hio hio.
Mkuu maelezo yako mazuri, ila ndugu zetu ni wagumu wa kuelewa. Washazoea maisha ya dhiki, yan kila asubuhi vipande viwili vya mihogo na kombe kubwa la maji, usiku miguu ya kuu na nusu ya unga wa ugali wanaona maisha wameyaweza.uko sahihi mkuu...ila tatizo linakuja hivi...unadhania uko sahihi tuuuu!! Km unavo fikiri...hilo ni kosa mjomba wangu alienda huko akiwa na 50 yrs! Wanae wakamfuata hukoo!! Wakabuni miradi waliyo buni asa hivi wako mbali mnoo! Hawataki kurudi...amini nakwambia misaada ya kuja kwenu africa miaka ijayo itakuwa inapitia mikononi mwa diasporas weusi....walio njema.
Hata hapo nyumbani wapo walioshindwa mbaya..kiasi na zaidi...lkn pia kufirisika ukiwa hapo nyumbani ni rahisi zaidi kuliko kufilisika majuu.....hata usemeje majuu ni majuu tu...km ukiamini nyota itakuwakia....huwezi nambia nikskuelewa eti maisha ya manzese/mbagala/kamunyonge sijui mahurunga kuleee! Eti ni bora kuliko majuu....hata km unaingiza million moja kwa siku ukiwa mtwara.na mie kule canada naingiza elfu 20. Bado canada ni Bora sana tuuu. Ndo tulivyo huku......hatujiiii....kaeni kwa kutulia na vihepe vyenu...ingiza hela zenu muingizavyo lkn hatutaki kurudi....huko tutakuja kutembea tuuu.
Acha ushambaUlaya kwa sasa hakuna jipya,
Kama una shughuli zako zinazokuingizia kipato hata 20000 kwa siku,
Nakushauri endelea na maisha ya bongo.
Kwa sasa fursa zipo
Japan.
South Korea,
Canada,
Marekani.
Australia,
Maisha ya ulaya kwa sasa ni kupoteza muda wako bure.
Samia kazaliwa Makunduchi ila yupo Magogoni au Chamwino kila siku, Sasa wewe baki kwenu Matombo huko, ukisema hapa ni nchini kwetu na sisi tutakuambia hapa na barani kwetu au Duniani kwetu, maana yake kila ardhi iliyopo humu duniani ni ya kila mtu na wewe kuchagua wapi ukatafutie chakula chakoKwanini ukahangaike ugenini kama umeshindwa kupambana uwanja wa nyumbani???
Ndio maana yake mkuu. Mtu hautakiwi kung'ang'ania sehem uliyofeli huku ukijipa matumaini hewa kuwa kuna siku utatoboa.Dunia ni pana na ina fursa tele ukifeli TANZANIA kajaribu nje ya nchi
Alieandika kuwa Ulaya hakuna jipya anatia hata aibu aisee 🤣🤣🤣Acha ushamba
Yan inasikitisha sana kuona baadhi ya wabongo wenzetu wanang'ang'ania kuishi kama samaki. Kwamba maisha yao yote wao waishi majini tu.Samia kazaliwa Makunduchi ila yupo Magogoni au Chamwino kila siku, Sasa wewe baki kwenu Matombo huko, ukisema hapa ni nchini kwetu na sisi tutakuambia hapa na barani kwetu au Duniani kwetu, maana yake kila ardhi iliyopo humu duniani ni ya kila mtu na wewe kuchagua wapi ukatafutie chakula chako
😂😂😂Acha ushamba
Mkuu nimewaza kitu...kuna watu wako negative sana..wivu.roho mbaya.wavivu kujituma...roho za kichawi nk!! Wanaumia mnooo wenzao waliokuwa maskini wakiishi vizuri. Zaidi yao roho zinawauma sana...wanatamani mfanane tuuuu.au wao pekee wawe juu.. muwatumikie tuu...hao ndo wanakazana kuishi bongo wakiamini ni kutamu....Mungu alisema zaeni mkaijaze nchi....siyo mkaijaze Tanzania.Yan inasikitisha sana kuona baadhi ya wabongo wenzetu wanang'ang'ania kuishi kama samaki. Kwamba maisha yao yote wao waishi majini tu.
🤣🤣🤣🤣 Japo nimecheka lkn mengi uliyoandika ndio ukweli wenyewe. Kinachofanya baadhi ya wabongo kushindwa kutoka kwanza ni:Mkuu nimewaza kitu...kuna watu wako negative sana..wivu.roho mbaya.wavivu kujituma...roho za kichawi nk!! Wanaumia mnooo wenzao waliokuwa maskini wakiishi vizuri. Zaidi yao roho zinawauma sana...wanatamani mfanane tuuuu.au wao pekee wawe juu.. muwatumikie tuu...hao ndo wanakazana kuishi bongo wakiamini ni kutamu....Mungu alisema zaeni mkaijaze nchi....siyo mkaijaze Tanzania.
Watu wengine wana roho za kutu sana.
Mungu akutunzeUSA ni uaminifu wako tu au upate mdhamini anaetambulika tempo za black market zipo nyingi Sana hizi za kuajiriana bila mifumo ya serikali mfano kuna Mapakistani au Wahindi jioni wanaweka meza nje wanaakaanga vyakula unaweza ukaomba Kazi ya kuosha, kugawa, kupika ni wewe tu dola 10 kwa saa, ukitoka hapo unaenda majumba ya sinema au casino kufanya Kazi za kusafisha huko huko unaweza ukawa unaokota vidola dola vilivyoanguka chini ya siti au yard za magari unaomba Kazi ya kusafisha magari unakamata dola yako 50 unalala, Asubui unaomba Kazi za kuzoa takataka kwenye kampuni za magari taka, au usafi kwenye majengo, au kuosha vyombo, kubeba mabox, au unaweza ukajidhamini kampuni za magari ya ukaomba wakulipie kozi ya udereva kwa makubaliano ukimaliza tu wanakuajiri then wanakata pesa yao kwenye mshahara, au ukachume mboga na matunda au ukalishe mifugo. Nje ukitaka kufanikiwa wekeza Sana kwenye uaminifu usipende shortcut itakula kwako wakikudaka wanakurudisha bongo na wanakublock sahau tena kurudi nchi hio. Bongo ni rahisi Sana kutoboa kupitia Black market fursa zipo tele, kwa njia halali ni ngumu Sana sababu ya mifumo ya kukubana usitoboe sababu watawala hawana confidence ya kuwatawala watu walioshiba so ni lazima wengi wawe masikini Ili iwe rahisi kuwatawala. Mfano tungexport dada zetu wakafanye Kazi uarabuni kwa kuwatengenezea mifumo ya kuwalinda kama walivyofanya nchi ya Filipini wakawa salama kuliko hii ya kuwazuia then huwezi waajiri wanabakia kudanga na kuchakaa tu unakuta mtoto anamzaa mtoto mwingine kwa cycle hio hio.
20000 kwa bongo ungeweza kupata 1ml ya kibongo ukiwa mbele issue ni malengo tu... huwezi niambia kibarua wa bongo ni sawa na wa ulaya hata mara moja hii siyo kweli kabisa... kuliko ukae bongo bila kazi hata kama ni graduate bora uende ulaya ukabebe box kwa muda upate mtaji,,,bongo pagumuUlaya kwa sasa hakuna jipya,
Kama una shughuli zako zinazokuingizia kipato hata 20000 kwa siku,
Nakushauri endelea na maisha ya bongo.
Kwa sasa fursa zipo
Japan.
South Korea,
Canada,
Marekani.
Australia,
Maisha ya ulaya kwa sasa ni kupoteza muda wako bure.
Hata bongo ukiwa na malengo unatoboa tu mkuu.20000 kwa bongo ungeweza kupata 1ml ya kibongo ukiwa mbele issue ni malengo tu... huwezi niambia kibarua wa bongo ni sawa na wa ulaya hata mara moja hii siyo kweli kabisa... kuliko ukae bongo bila kazi hata kama ni graduate bora uende ulaya ukabebe box kwa muda upate mtaji,,,bongo pagumu