Njia pekee nyepesi ya kuingia Ulaya kwa wale wanaohitaji kujilipua ni hii...

Ninaamini kufanikiwa kupitia ardhi ya nyumbani, Ulaya kitu gani nyie... Mnadhani kwenda kuangalia madhari nzuri za kuoendeza machoni ndo kufanikiwa? Watu wako shambani na wamefanikiwa nyie mnawaza Ulaya
 
Ninaamini kufanikiwa kupitia ardhi ya nyumbani, Ulaya kitu gani nyie... Mnadhani kwenda kuangalia madhari nzuri za kuoendeza machoni ndo kufanikiwa? Watu wako shambani na wamefanikiwa nyie mnawaza Ulaya
Wengi wa waliosema kuwa bongo kuna fursa kibao, ndio hao wameishia kuwa panya road baada ya kuzikosa hizo fursa walizo/wanazozisema mitandaoni.
 
Hakika mkuu, hapo umemjibu vyema. Swala la utafutaji halihusiani na vyama, bali ni juhudi zako tu bila kujali uko katika chama gani.
 
Mm ndo nimeingia muda so mrefu Ila mambo bado siyaelewi ulaya hii nilikuwa nikiiskia na kuiona kwa picha Sasa naishuhudia kwa macho yangu na nikiw na akil timamu kabisa bado mambo siyaelewi kabisa maisha yanakuwa magumu najarbu kutafuta connection ya wabongo wenzangu sipati na winter inakarbia muda so mrefu nakata tamaa kabisa yaan.

#Ushauri usiuze nyumba ama asset yako kwa ajil ya kuja ulaya tulia kwako pambana na ufanye maisha rizki n popote muhimu ni juhudi tu
 
Mkuu! Hayo yote nimekuachia mwenyewe Ila kuhusu kipengele cha #ushauri umenigusa mno kuanda Safari ya ulaya si chini ya 10m halafu sio kwamba ni guarantee ukifika unapata kazi
#Tips hamna binadamu asiyependa kuishi vizuri tatizo dunia haiko fair wao wanakuja kuchukuwa visa vingunguti tukitaka yao mpaka tupeleke na ma hati muda mwingine
 
Kabisa mkuu , yaan n gharama sana
 
We kvma na msukule umeumia baada ya kuwananga wapuuz wa CCM wanaokufuga sio .
Nguruwe wewe
 
We uko nchi gani ? Au ndio wale mnaozamia mtumbwi wa vibwengo kule eastern Europe maana Europe ni kubwa hata Moldova ,Serbia ,Latvia Napo ni Europe , kule fursa ni chache maana kuna vinchi humo vinaishi kwa ruzuku toka serikali ya shirikisho la ulaya EU
 
Hata iweje kwenda ni lazima mkuu ni suala la muda tu
 
Hapa umeongea master
 
hivi hili swala la canada kuitaji watu inakuaje
 
hivi hili swala la canada kuitaji watu inakuaje
Canada kweli inahitaji watu. Lakini wameweka utaratibu maalum ili kuhakikisha watu wanaoingia huko wanakuwa ni wale sahihi inayowahitaji.

Mfano kwa sasa canada ni nchi ya pili baada ya USA kwa kuchukua wakimbizi kutoka sehemu mbali mbali za dunia. Lakini vilevile wameweka utaratibu mzuri kupitia balozi zao kwa watu wanaohitaji kwenda kusoma, kufanya kazi nk katika nchi hiyo.

Kuhitaji watu haimaanishi kwamba kila mtu ataruhusiwa tu kuingia kama chooni bila kufuata utaratibu unahitajika kwa sababu za kiusalama, kiuchumi na afya kwa ujumla.
 
Sante: Mr Nilicho kuwa najua n kwamba walikuwa wanaitaji watu kwasababu ya kuongeza population tu
ya hii walio kuwa wanaiita (Canada express entry) ?

naomba unisaidie kitu kimoja Naitaji kujua Masharti yao maana niliskia wao kama wao wanashuhulikia Visa

tafaut na hii ulio nijulisha kwenye sala la kusoma au kazi.
 
Angalia hapo chini mkuu 👇
 

Attachments

  • images (15).jpeg
    32.4 KB · Views: 26
Na kazia ,
Canada kupata permanent residence ni rahisi sana ukiwa pale kihalali. Hii ina faida zake.

Marekani U.sS
vibarua vingi tu , dollar bdo ina nguvu pia , wazee wa kusave na kuinvest kutoboa ni faster tu as long as una malengo na mipango madhubuti. Na sio tu "malengo" bila "plans"


Safari zinaendelea... ! We are travelling the world...!
 
"You think small, and you'll remain small for life"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…