Wewe ulipataje visa, uliingiaje..? Na je kwasasa vijana wa Tz wanaweza kifuata taratibu zipi wakaingia na kutafuta maisha..?UK afadhali,mtu anaweza fanya kazi hata kama hana legal permit. Tatizo UK ni visiwa. Kuingia huko ni ngoma nzito. Na kupata visa na kwenyewe si rahisi kihivyo.
Tafuta walau 6mil+nauli uende huko, ukipata resident permit jua kabisa unawatangenezea future watoto wako/family yako yoteKanada napatamani sana kuna ndugu yangu yupo huko hataki ujamaa kabisa na mtu,naskia ukiwa na ndugu ni rahisi kupata vibali...maana ni nchi kubwa na unahitaji watu.
Unaweza kupewa hiyo 6mil ya hapa bongo na bado isikufikishe popote! Vijana wengi wana malengo na ndoto lakini wanakosa plans/mipango madhubuti! ,Acheni masikhara basi kuwa na million sita kwa kijana wa bongo kisa kusafiri ulaya ni ngumu maana hata ukishika hiyo pesa kwa hapa bongo kuna fursa nyingi na nzuri kuliko huko ulaya..
Endelea kumsikiliza huyo kiongozi wako, utatoboa.Kuna kiongozi alisema vijana bora ufungue genge la milioni 3 bongo utatoboa kuliko wenda ulaya kutafuta maisha.
Kumbuka upo hapo kuipambania familia yako , yawezekana wewe usione mfanaikio uliyoyatarij kwa uharaka lakini ukatengeneza njia kwa kizazi chako!Mm ndo nimeingia muda so mrefu Ila mambo bado siyaelewi ulaya hii nilikuwa nikiiskia na kuiona kwa picha Sasa naishuhudia kwa macho yangu na nikiw na akil timamu kabisa bado mambo siyaelewi kabisa maisha yanakuwa magumu najarbu kutafuta connection ya wabongo wenzangu sipati na winter inakarbia muda so mrefu nakata tamaa kabisa yaan.
#Ushauri usiuze nyumba ama asset yako kwa ajil ya kuja ulaya tulia kwako pambana na ufanye maisha rizki n popote muhimu ni juhudi tu
Hatari sana hahahaha ! PASSPORT hii hapa valid for 10 yrsHata iweje kwenda ni lazima mkuu ni suala la muda tu
Mimi nilipata ufadhili wa kwenda kusoma huko. Isingekuwa shule nisingekwenda. Wakomae watafute ufadhili wa kwenda kusoma, wakimaliza shule watafute kazi huko au warudi home.Wewe ulipataje visa, uliingiaje..? Na je kwasasa vijana wa Tz wanaweza kifuata taratibu zipi wakaingia na kutafuta maisha..?
Toa hizo njia ngumu unazozizungumzia fungukaaa!
Sawa wape muongozo wa namna gani unaweza pata ufadhili wa kwenda kusoma nje!Mimi nilipata ufadhili wa kwenda kusoma huko. Isingekuwa shule nisingekwenda. Wakomae watafute ufadhili wa kwenda kusoma, wakimaliza shule watafute kazi huko au warudi home.
Hapo bongo uwe umesoma kwanza.Umeamaliza chuo kikuu. Kama si hivyo basi kazamie na wa west africans kule Libya kwa bahari kwenda ulaya.Ila huko ni kufa na kupona si safe ila wapo wanaofanikiwa.Sawa wape muongozo wa namna gani unaweza pata ufadhili wa kwenda kusoma nje!
Shukrani
Waburundi wanatuheshimu sana na wengi wanaongea kiswahili. We ukifika pale usiĵifiche wambie kabisa we ni mtanzania utapewa hifadhi na yeyoteHii ni ngumu kwa mbongo asiejuwa atafikiwa wapi huko Burundi hadi mipango yake iweze kutimia, unless awe na mtu wa kumpokea na kumuweka kwa muda wote atakaokuwa pale.
ANAITWA NANI HUYO JINA LAKESijui tunakwama wapi aisee,jamaa atakua na darasa tarehe 1 okt ubungo plaza nadhani kufundisha namna ya kuomba green card,muitiko ni sifuri bado,naona wakenya wamemuita kabisa aende kenya kuwafundisha,jana jamaa nimeona amepost youtube yupo kenya aisee!
Search youtube ebm tzANAITWA NANI HUYO JINA LAKE
Vipi ndugu yangu, unaendeleaje hukoMm ndo nimeingia muda so mrefu Ila mambo bado siyaelewi ulaya hii nilikuwa nikiiskia na kuiona kwa picha Sasa naishuhudia kwa macho yangu na nikiw na akil timamu kabisa bado mambo siyaelewi kabisa maisha yanakuwa magumu najarbu kutafuta connection ya wabongo wenzangu sipati na winter inakarbia muda so mrefu nakata tamaa kabisa yaan.
#Ushauri usiuze nyumba ama asset yako kwa ajil ya kuja ulaya tulia kwako pambana na ufanye maisha rizki n popote muhimu ni juhudi tu