Good Neighbour
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 942
- 899
Kabla hujaenda JWTZ Lazima upite JKT ndio taratibu za siku hizi.na moja kati ya vigezo vyao vya kujiunga JKT lazima umri wako usizidi miaka 25.Hapana kaka, miaka 26 naitimiza mwezi wa 8 tarehe 21 ! Sijachelewa.Hata hivyo, mbona kuna wanajeshi wazee huko , (nadhani waliingia wakiwa vijana wadogo KAMA MIMI TUU NA WENGINE HATA WAKIWA WANANIZIDI), sasa sembuse Mimi Wa miaka 26 (mwezi Wa 8 mwaka huu) ? BASI TUU.
Nimekuelewa mkuu, huo umri Wa 25 nilikuwa nao mwaka Jana, lkn Mimi siyo Mzee kiasi kwamba jeshi linishinde.Sema tuu usawa Wa siku hizi hauko vizuri, ugumu Wa ajira za kawaida za mtaani ndiyo zinafanya wasomi na watu wengi ambao hata jeshi siyo hobi au kipaji chao wanakwenda na kuwa wengi huko na kuchukua nafasi za wengine.Kabla hujaenda JWTZ Lazima upite JKT ndio taratibu za siku hizi.na moja kati ya vigezo vyao vya kujiunga JKT lazima umri wako usizidi miaka 25.
Umeelewa?
Sema tuu kipindi kioe tupo huko kwa mujibu HATUKUBAHATIKA KUPEWA NAFASI ZA KUJIUNGA NA JESHI MOJA KWA MOJA KAMA MADOGO WA SIKUKabla hujaenda JWTZ Lazima upite JKT ndio taratibu za siku hizi.na moja kati ya vigezo vyao vya kujiunga JKT lazima umri wako usizidi miaka 25.
Umeelewa?
Unataka kwenda jeshini afu unatumia maneno mapesi hivo mkuu (Lol!)Ahaah, sawa mkuu.Naomba zikitoka unistue kaka, nalihisi jeshi JWTZ nafsini na kwenye mwili mzima na nikibahatika kwenda Monduli ni hadi ukomandooni huko ! nisipokuwa mjeshi ntakuwa nimejikosea Mimi na Mungu pia ! Lol !
Nitupie taulo mike ! Waziiii .... ... ¿Unataka kwenda jeshini afu unatumia maneno mapesi hivo mkuu (Lol!)
Anyway nikisikia chochote kuanzia mwezi wa tatu nitakupa updates!
NAREI, Naomba unipe updates mda wowote ukizipata.Unataka kwenda jeshini afu unatumia maneno mapesi hivo mkuu (Lol!)
Anyway nikisikia chochote kuanzia mwezi wa tatu nitakupa updates!
Sema tuu kipindi kioe tupo huko kwa mujibu HATUKUBAHATIKA KUPEWA NAFASI ZA KUJIUNGA NA JESHI MOJA KWA MOJA KAMA MADOGO WA SIKU
AIPOLO, NAPENDA SANA HIYO KAZI, ACHA UMASKINI TUU HATA KUFA MAPEMA NI MOJA YA HASARA LAKINI SIANGALII HAYO YA UTAJIRI AU VINGINEVYO, NAPENDA TUU TENA KWA DHATI NDG.HATA NIKIWA FUKARA WA MWISHO DUNIA HII AU NIKIFA MAPEMA () SAWA TUU.
Hayo ni mawazo yako The Skunk.Kwani kama ni nguo siwezi kutafuta kitambaa nikashonesha na kuvaa tuu au nikanunua nguo zenye kuwa mithili ya zile za jeshi nikazivaa ? Siyo hivyo The Skunk.NAPENDA JESHI (JWTZ).Hata wangevaa magome ya Miti (impuzu) au magunia au ingekuwa vinginevyo, ningeendelea kupenda hiyo kazi tuu.Wewe unaonekana unazipenda nguo sio kazi
Ili ufanikiwe lazma ufanye biashara sasa ww chenga uende kwny ulinzi wako utakuja kujiajir ukiwa na mguu mmoja ndio utaona moto wake c unataka sifa nenda kawe kibaraka wa wanasiasa kuna vyuo vingi sana unasoma mda mfupi tu kwa mfano machine za migodini utakuja kuishi vzr tu ww unawaza kwnda kulinda kwa mkuu wa mkoa yy kalala na familia yake.black people wll remain black people.
Mmmmh sawa nitawatafuta hao viongozi Wa wilaya Wa chama japo nachukia siasa kutoka rohoni mwangu, ila hakuna namna.Asante kwa ushauri wako kaka.Baada ya kuitafakari sana elimu yake na masomo aliyochukuwa nimeamini kweli huyu kijana mwenzangu maisha ya ulaiani hayajamshinda ila kuna kitu kinamsukuma aende huko jeshini na yawezekana ni kwa faida ya wanachi huko mbeleni, hatuwezi jua.
Namshauri ajiunge na chama haraka sana na atumie kama mwaka hivi kuwa karibu na viongozi wa chama ngazi ya wilaya wanaweza msaidia kufikia malengo yake.
Yani utoke kulala na mkeo halafu uende vitani? Never!! We komaa tu mtaani jeshi utaliskia tu kwenye bomba..Kamanda, ingenitokea hilo zari LA kupata nafasi ya kuwa mjeda Wa JWTZ, Mimi ningekuwa tayari kwa lolote mkuu.Hata ingetokea kwamba siku hiyo hiyo nimevikwa UTUKUFU WA MUNGU a.k.a BAKABAKA, halafu wakaniamrisha kwenda front line kupigana vita, NINGEENDA CHAPCHAP TENA KWA ROHO MOJA NA SAFI KWA SABABU HII KAZI NAIPENDA SANA, ipo moyoni.Sijalazimishwa au kuvutiwa na chochote kingine huko zaidi ya kupipenda kwa dhati tuu kwa hiyo KUSINGEKUWA NA SHIDA YYT YA MIMI KUWEKWA 92 KJ AI HIYO 44 ! I LOVE U JWTZ ! MWAAAAH !!!!! LOL
Mchukue bas apo kihangaiko au manyovu maana naona anapiga kelele tu hapa,aah il naona hafai huyuIngekuwa kabla ya 2015 Mimi huyu MTU ningemchukua aende RTS akajipime msuli sasa system zimebadilika kidogo inaleta shida na siwez kufanya lolote
Kaka, mbona unasema sifai, Mimi nahisi jeshi kwenye nafsi, halafu unasema sifai ? Aiseeeeh sasa kama ni hivyo ningeliongelea ili iweje ? Haya kaka.Nakushukuru.Mchukue bas apo kihangaiko au manyovu maana naona anapiga kelele tu hapa,aah il naona hafai huyu
Sijawa na mke kaka, bado nipo peke yangu tuu.Vitani haiwezekani kwenda bila kufanya zoezi Kali sana la kivita, na Kutumia zana za kisasa ni Muhimu pia.Morali ya kazi ya jeshi nayo ni Muhimu zaidi.Yani utoke kulala na mkeo halafu uende vitani? Never!! We komaa tu mtaani jeshi utaliskia tu kwenye bomba..
Hivi Manyovu kuna kambi ya mafunzo ya kijeshi JWTZ siku hizi ?Mchukue bas apo kihangaiko au manyovu maana naona anapiga kelele tu hapa,aah il naona hafai huyu
Siasa na majeshi mawili maarufu nikamavile samaki na maji, inamaana ukiwa kule ukaagizwa uende sambalatisha mkusanyiko wa chadema utakataa? au utaweza kuwauliza wanaokuagiza sababu? Huwezi ukaepuka siasa na mambo yakakuendea vizuri. Labda ukawe askari Marekani na Ulaya napo najua wanasiasa wa huko wanatumaga askari wao kwenda pigana vita na warabu ingawa hapa faida huwa ni kwa raia wa kawaida kwakuwa huletewa mafuta kwa bei raisi tofauti na Afrika.Mmmmh sawa nitawatafuta hao viongozi Wa wilaya Wa chama japo nachukia siasa kutoka rohoni mwangu, ila hakuna namna.Asante kwa ushauri wako kaka.
Ni kweli, mtu akiwa mjeshi ni kutumikia vyema wananchi, wanasiasa n.k kwa namna yoyote ile ni vizuri tuu.Lkn pale mjeshi anakuwa yupo kwenye majukumu (kazi) ya kijeshi siyo habari za kisiasa.Siasa na majeshi mawili maarufu nikamavile samaki na maji, inamaana ukiwa kule ukaagizwa uende sambalatisha mkusanyiko wa chadema utakataa? au utaweza kuwauliza wanaokuagiza sababu? Huwezi ukaepuka siasa na mambo yakakuendea vizuri. Labda ukawe askari Marekani na Ulaya napo najua wanasiasa wa huko wanatumaga askari wao kwenda pigana vita na warabu ingawa hapa faida huwa ni kwa raia wa kawaida kwakuwa huletewa mafuta kwa bei raisi tofauti na Afrika.