Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
Tuilaumu serikali tuNani alaumiwe mkuu..??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuilaumu serikali tuNani alaumiwe mkuu..??
Muongozo ni kufuata ushauri uliotolewaHakuna mwongozo hapo
Kwa nini mkuu?Mwaka huu lazima nioe kule Zenji.
Wanaolazimisha sherehe, wanakuwa wanajichelewesha wenyewe kuwa kwenye ndoaShida wadada wengi wanataka mara sherehe sijui mahali,wanatakiwa wakienda wa wapenzi wao kugegedwa wasiondoke wabaki huko huko.
Kama mwanaume ana nia na yeye,hawezi mfukuza-bali atamwambia waende.kujitambulisha maisha yataendelea.Hii ni kama ile mbinu za kule kijijini inatorosha Binti kisha badaye ndio mambo mengine yanafuata.