Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
Hapana me najua kusema na shida zangu afu niko loyal balaaaKama ni hivyo mume mmoja hawezi kukutosha, ndoa itakuwa ni ya mnyukano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana me najua kusema na shida zangu afu niko loyal balaaaKama ni hivyo mume mmoja hawezi kukutosha, ndoa itakuwa ni ya mnyukano
Tatizo litaanzia pale utakapohitaji milioni, wakati huo mr aliyonayo ni laki moja; hapo lazima agongewe tu😂😂😂Hapana me najua kusema na shida zangu afu niko loyal balaaa
HapanaTatizo litaanzia pale utakapohitaji milioni, wakati huo mr aliyonayo ni laki moja; hapo lazima agongewe tu😂😂😂
[emoji1787][emoji1787] kweli kabisa Sio kwa hawa vichomi wa miaka hii!!![emoji23][emoji23][emoji23]
Hayanaga muongozo
Yana muongozo,, sema ni mgumu kufata[emoji1787][emoji1787] kweli kabisa Sio kwa hawa vichomi wa miaka hii!!!
Shauri yako wewe chelewa chelewa utamkuta mwana si wako.Kwa hiyo mkuu unaona Ni haki Mimi nimpeleke chobingo shemeji yako nianze kumpigia magoti nalia anioe!like serious????si unaweza nitwanga Kofi la ujinga ukinibamba huko?🙆😆
Muoaji utasikia,baby, I can't wait to say I do.....Sasa kulia Tena Hiiiiiiiiiiiiiii (in Magu voice)Shauri yako wewe chelewa chelewa utamkuta mwana si wako.
Labdo uko miaka 40 waoaji hamna, utafanyaje?
Siyo kirahis hivyo [emoji23][emoji23]Wadada wenye uchumba sugu.
Kuna wadada wapo kwenye mahusiano zaidi ya miaka kadhaa, na wanatamani waolewe; lakini wanaume walionao bado wanawapiga dana dana.
Njia rahisi inayoweza kukusaidia, mwanaume wako afanye maamuzi ya haraka katika kukuoa, fanya hivi:-
- Andaa bajeti ndogo ya laki mbili n.k
- Mtoe 'out' mpenzi wako
- Tafuta eneo tulivu, inaweza kuwa hotel yenye eneo kubwa, au sehemu yoyote wanazotoa huduma zote za chakula, vinywaji, malazi n.k
- Tafuta meza ya nje iliyojitenga, yaani muwe wenyewe tu au kuwe na umbali kufikia meza nyingine.
- Itakuwa vizuri zaidi kama itakuwa ni usiku
- Agiza vinywaji vingi ili muhudumu asiwe anakuja mara kwa mara kwenye meza yenu.
- Pia hakikisha umevaa nguo nzuri, inayomtamanisha mpenzi wako.
- Pigeni stori za kawaida, ila mkifika chupa ya nne anza kuongea kwa hisia kwa kumuonyesha umuhimu wa mpenzi wako katika maisha yako.
- Mpigie magoti huku ukitoa maneno ya mahaba ukiigiza kama unataka kulia, na kumuomba aweze kukusitiri katika ndoa.
- Mlilie mpaka yeye mwenyewe aanze kulengwa na machozi, na hatimaye yeye mwenyewe atakuinua na kukumbatia, na atakupa jibu lako.
- Baada ya kufanya hivyo, deka kama mtoto mdogo ikiwezekana uwe unamkalia kalia, huku mkiendelea kupata vinywaji.
- Mkimaliza hapo, nendeni chumbani mkapumzike.
- Kesho yake anza kutekeleza mlichoafikiana.
- Baada ya hapo nawatakia ndoa njema.
Hahahaj[emoji23][emoji23][emoji23]Badili tabia kwanza
Una point, ningekuwa singo ningekuchukuaSubiri wakati wa Mungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila pengine pia inabidi ujichnguze maybe kuna namna una act kama mwanamke ila sio mke[emoji38]
Kupata mume lazima uwe pia na charactr za kimke, labda utake tu kuolewa kutoa nuksi na sio lifetime commitment
Ndio mnadanganyana hivyoUkilazimisha mambo yatakuwa magumu
Unaweza kuact kama mke mbele ya mvulana unazania nn kitatokea hapo?Subiri wakati wa Mungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila pengine pia inabidi ujichnguze maybe kuna namna una act kama mwanamke ila sio mke[emoji38]
Kupata mume lazima uwe pia na charactr za kimke, labda utake tu kuolewa kutoa nuksi na sio lifetime commitment
Nimeachika asee[emoji26][emoji26][emoji26]Ndoa tayari mkuu?
Hahaha unaomba kusitiriwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]Eti umuombe akustiri jmn
Wtf is this?..
Ndoa ni kitu mtu aingie kwa kupenda sio kulazimishwa
Hehehehe....uvumilie nini sasa hapo?[emoji848]Ndoa ambayo mwanamke analazimisha either kwa kubeba mimba makusudi au kuitumia pesa vibaya, itamtesa sana mtoto wa kike. Ata kama ana uchumba sugu asiitumie nafasi iyo kufanya kitu kama icho, ukiona umekaa na mtu 6 to 7 yrs na Hana dalili ya kukwambia nahitaji kwenda kwenu, we jisogeze tu pembeni usipoteze muda wako au lah endelea kumvumilia mpk mwsho, maana unajua Nini unachokitaka.