Njia rahisi inayoweza kumsaidia mwanamke aliyepo kwenye uchumba sugu, kupata ndoa

Njia rahisi inayoweza kumsaidia mwanamke aliyepo kwenye uchumba sugu, kupata ndoa

Hehehehe....uvumilie nini sasa hapo?[emoji848]
Asa kama mwengine anaona kabisa apa hakuna dalili, alafu bado anang'ang'ania tu iyo sehemu. Anashauriwa lkn bado anaona mnamuonea. Unamuacha tu avumilie. Maana yee si ndo anayejua nini anataka?. Lakn yule anayejielewa hawez kukaa apo lazima ajiengue.
 
Kumbuka pia kila mwanaume anaweza kuwa mme lakin sio kila.mwanaume anaweza kuwa mme bora

Na pia sio kila mume bora anaweza kuwa baba bora, [emoji28]

Ndoa ni Taasisi kubwa sana, has a lot in between , ndo maana kuna mtu anaweza akazaa na mwanaume mwingine na akawa baba bora [emoji817] ila asiwe na sifa za kuwa mume [emoji28] same kwa mwanaume anaweza mzalisha mwanamke na asimuoe pengine ameona anafit zaidi kuwa mama bora zaidi ya kuwa mke.

Mpaka mnafikia makubaliano ya kuwa mke na mume kuna mengi ya kuangalia, kikubwa kuna mawili upate full package au upate 50% na 50% ukapambane nayo humo ndani kwa ndani[emoji23][emoji23]

Olu in olu tabia ya mtu atayoingia nayo ndoani usitegemee akabadilka, kam ni y utakutana na y pia ndani, labda wewe ndo ubadilike au uji adjust accordingly[emoji56][emoji56]

Sauti imeskika lakini au niongeze [emoji12]
 
Back
Top Bottom