Njia rahisi inayoweza kumsaidia mwanamke aliyepo kwenye uchumba sugu, kupata ndoa

Njia rahisi inayoweza kumsaidia mwanamke aliyepo kwenye uchumba sugu, kupata ndoa

Waume za watu wenyewe ndo hao waliopigiwa magoti kuombwa ndoa saizi wanahaha nje na michepuko[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Wake za watu wenyewe ndo hao walioolewa lakini hawana hisia na waume zao [emoji3]
Kazi ipo

Hisia zitatoka wapi sasa wakati unakuta mumewe ana michepuko anajaza coster moja na bajaji mbili!!!
 
Sijaelewa hapo kwenye Bajeti ya Laki 2( 200000/=) Umesema huyo muolewa yeye anaandaa tu au ndio anatoa!
 
Kabisa ndo mwishowe akwambie sina mahari unajikuta unasema ntakupa au ntakuazima 😀😀
Unamkopesha tu kwenye ndoa nyie ni mwili mmoja, halafu siku hizi mmerahisha wenyewe na mambo yenu ya haki sawa yaani 50/50.

Kama ikiwezeka wewe unalipa nusu na yeye nusu na kama hana nusu unamkopesha mwenzio,ili mfunge ndoa ndoa ni jambo la heriiiiiii binti halihitaji kusubiri kama nafasi ipo malizeni mengine yata fahamika mbele kwa mbele...................😎😎😎😉😉

Tehetehetehe....tehe.
 
Back
Top Bottom