Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Daah...! Kuna mwamba amemvumbika bint wa watu toka enzi za chuo 2013-2016 hadi muda huu na type hapa tupo tunasubiri ndoa ya hawa wapendanao, maana karibia robo ya maclassmates tayari tumeshafunga ndoa na ukimuliza mwamba anadai bado hajajipamba.