Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,918
- 13,885
Haina aja ya kuangaika sana, ww muite man wako mchane direct kuwa sasa unaitaji kujenga familia na mji wako je upo tayari kubeba jukum hilo? Kama haupo tayari bas kila mtu ashike njia yake kuanzia sasa nitaambatana na mtu ambaye tunafanana nae nia na maona.