Njia rahisi inayoweza kumsaidia mwanamke aliyepo kwenye uchumba sugu, kupata ndoa

Mtu apige magoti mpaka kulia kisa kuomba ndoa 😀😀😀 kesho na kesho kuwa mwanaume aanze kusema kwanza sikutaka kukuoa nilikuonea huruma wooiiii😀😀😀

Mtu kama ameamua kukaa kwenye uchumba sugu means anajua anachokitaka, muda ukifika atakipata kama ni ndoa au kuachwa… kwanza wanaume wengi wanakua bored na habari ya utanioa lini utanioa lini kwao inasound kama usumbufu hivi
Really?
 
Jaribu kufanya majaribio, uje utupe ushuhuda
 
Hivi leo ukiniuliza nilimpataje mke wangu,sijui.It's all about some good,good love!❤️❤️❤️😂😂😂😂
Sasa hawa wengine, wanafikiri ndoa ni kitu rahisi; wanafikiri ni kuomba hela na kwenda saluni
 
Baada ya hayo yote mwanaume lazima atamchukulia poa tu,,, yeye ataamini kwamba ulikuwa anafanya hayo yote kwa sababu ya ulevi tu Wala hukuwa unamaanisha.

Mkuu haya Mambo hayanaga fomyula hata kidogo.
Mwanamke ananafasi kubwa ya kumshawishi mpenzi wake
 
Back
Top Bottom