Njia rahisi ya kuua upinzani ambayo Hayati Magufuli hakuitaka. Inafanya kazi vizuri

Njia rahisi ya kuua upinzani ambayo Hayati Magufuli hakuitaka. Inafanya kazi vizuri

Magufuli alikuwa mbishi tu. Alishauriwa kuwa hawa wapinzani kula nao. Usiwaache na njaa. Hizi kelele ni sababu wana njaa. Hakusikiliza akasema yeye hawezi ishi kinafiki.

Matokeo yake tukayaona. Ila wenzie wanajua..ni kula nao tu. Kwa sasa tunamshukuru Rais Samia hana baya. Anakula nao anawakumbuka. Husikii hbr za Katiba.

Lema mpaka anajisahau anasema Samia asisemwe. So yeye ndo anatoa ruhusa? Yaani anakula mpaka baadaye atasema Samia tena 2025. Mi nipo hapa.

Ajue hatuna mpango wa kumtukana. Ale tu kistaarabu. Wapinzani hupiga kelele wanapokuwa na njaa. Mnamsikia Zitto? Ha ha ha.... Sisi tunawajua tatizo lao ni nini.

Huyu Lissu ndo mbishi tu. Wenzie wanalamba asali kwa upole yeye kuna kipindi anajisahau na ubishi wake. Ila nashauri marais wote wakija. Usipambane na wapinzani kwa nguvu. Wapatie tu asali...wanalamba lamba wewe unaendelea na maisha yako.

RAIS SAMIA TENA 2025. Wapinzani huwaui kwa nyundo unawaua kwa asali. Vyama vyao vinakufa tu automatically. Sasa wameachiwa wafanye Mikutano. Hawana Hoja. Lema anasema waendesha boda boda wamelaaniwa. Keshokutwa atasema Manesi wamelaaniwa.

Siku nyingine atasema walimu wamelaaniwa, wiki ijayo atasema wanajeshi wamelaaniwa. Sababu sasa hana hoja nchi inaenda vizuri anakula anakunywa. Hana cha kusema zaidi ya kuwageukia wananchi sasa kuwapasha.
jpm hakuwa anajua siasa, alikuwa anajilazimisha tu.....Samia ndiye anaweza akafanikiwa kuua upinzani akiendelea hivi hivi na akatekeleza yale anayosema maana kufika 2025 hakutakuwa jambo la kumpinga. Atakuwa amesikiliza ushauri wao wote na hawatakuwa na ajenda dhidi yake yeye binafsi na hivyo si rahisi kuishutumu ccm. Maana huwezi ukasema sina ajenda dhidi ya mwenyekiti lakini una ajenda dhidi ya chama.
 
Shida ya upinzani ni kutoishi katika au kutokuwa na misingi. Principles. Hilo hasa. Magufuli asingeweza hata kidogo kuishi na unafiki wa namna ile. Si ndani wala nje ya CCM. Hakuwa mnafiki hata, so kama kilichomuua ni kutoishi maisha ya kinafiki then so be it. Kufa wote tutakufa sooner or later.
Okay
 
Lema ni mropokaji, hii imeumiza wengi hasa JK
Miaka 2 imepita Lema akiwa nje ya Tanzania. Yeye anaishi kule kwa jasho na kodi za wanaume wa Canada. Hawezi kuwa na akili nzuri hata kidogo. Kiukweli amekubali utumwa wa kisaikolojia. Na utumwa huu ni mbaya kuliko ule wa minyororo ambao babu zetu walifungwa na kuuzwa kupitia Bagamoyo hadi soko la Zanzibar
 
Daah, nimecheka sana.
Usicheke haya mambo ni serious sana. Kimsingi ilipaswa tuishtaki CC ya CCM na J Kikwette Mwenyekiti wao kwa kutuletea mtu kichaa kuwa mgombea na hatimaye Rais.
 
Umeandika upumbavu WA Hali ya juu, yaani wewe ndio mfano halisi WA Wana CCM waliokua wanafurahia kutekwaz kuteswa na kuuwawa kwa watanzania.

CCM ni Mawakala wa shetani!
Chadema wanashirikiana na hao unaowaita wakala wa shetani
 
Wanakufa watoto wachanga sembese yeye akiwa na umri wa 60+
Wacha kutetea ujinga. Wanakufa watoto wachanga ambao wanazaliwa kwenye mazingira magumu. Hakuna wakunga na hakuna hospitali na vifaa tiba. Paul Biya wa Cameroon ana miaka 91 bado yupo. Thobiang Nguema ana zaidi ya 80 bado yupo.

Huyu kichaa wenu alihamisha mitambo mizuri ya hospitali ya Bugando akapeleka Chato, akawa na madaktari wote wazuri akina Prof Ngwale, Mchembe, MAKUBI lakini walishindwa kumuokoa kwenye COVID 19.
.
Magufuli alikuwa alidhani hatakufa. Akajilinda na Wanyarwanda, wachawi wa Gambosh na bado akadedishwa na COVID 19. Magufuli alikuwa analindwa na kikosi Maalum cha Askari wenye sare na wasii na sare, Askari wenye mabastola na AK 47, Askari wenye ving'amuzi vya kwenye laptop, magari ya Internet Jammer na utambuzi wa vilipuzi. Na mwisho alikuwa na Helicopter juu angani!! Vilimpa kiburi lakini Mungu akaamua pale 17/ 03/ 21 na kumpeleka jehanam
 
Ni kweli hakufanikisha lolote wakati kila siku unaupandisha huo mkunduw kwenye mabasi ya blue kutoka gerezani hadi unapoushusha ukielekea uswekeni ulipojenga huko Matosa.
Wewe hayawani kumbe unaishi madongo kuinamna huko Matossa? Pumbavu sana !! Mlikuwa mnaishi kumtegemea magufuli mkidhani ni mungu!! Mumelaaniwa
 
Wewe hayawani kumbe unaishi madongo kuinamna huko Matossa? Pumbavu sana !! Mlikuwa mnaishi kumtegemea magufuli mkidhani ni mungu!! Mumelaaniwa
Siku nikiishi matosa basi ujue we utakuwa uko kifuru huko
 
Principle gani aliyokuwa nayo Magufuli?
Kuna rais aliyekuwa akihonga wapinzani kama Magufuli?
Magufuli alikuwa akinunua wabunge, madiwani na wenyeviti wa upinzani kwenda CCM na kiwapitisha bila mchakato wa kura za maoni ndani ya chama

Hakuna mnafiki kama yule mpumbavu, nyie mazezeta ndio mnaona alikuwa malaika
Ndio maana nasema nyie wapinzani mshipa wa misingi "principles" hamna. Kuthibitisha hilo ni hiyo kauli yenu mnavyomtuhumu Magufuli kwamba alinunua wapinzani at the same time mnamshutumu kwa kutowalambisha asali. Kwanza huko kununuliwa kwenu (which I doubt) ni dalili namba moja kwamba hamna misingi. Mtu gani timamu akubali kuacha misingi yake anayoiamini kwa vipande thelathini vya fedha? Sasa ukweli halisi ni kwamba Magufuli hajamnunua mtu. Magufuli alichokifanya ni kuwafunua for what a giant sham you are.
 
Ulikuwa unaamini kuwa “wapinzani” wote ni walokole? Kwamba wote wana “principles” zisizoyumba? Kwamba serikali ikiwachotea na kuwagawia mabilioni toka Hazina ili wahame au wasaliti upinzani wote hawatatetereka? And for that matter, unaamini kuna kundi la watanzania wakiwemo wanaCCM ambalo wote wana principles za kutonunulika na mabilioni ya serikali?

Na vipi unaionaje serikali inayojichotea mabilioni ya hazina ya taifa kuhonga “wapinzani” wahamie CCM? Na vitisho juu? Kuna cha kujivunia hapo kuhusu “principles” za wanasiasa?

Unapofurahia uozo kiwango hicho jua kuwa unaishi katika banana republic au nchi ya ajabu.
 
Ndio maana nasema nyie wapinzani mshipa wa misingi "principles" hamna. Kuthibitisha hilo ni hiyo kauli yenu mnavyomtuhumu Magufuli kwamba alinunua wapinzani at the same time mnamshutumu kwa kutowalambisha asali. Kwanza huko kununuliwa kwenu (which I doubt) ni dalili namba moja kwamba hamna misingi. Mtu gani timamu akubali kuacha misingi yake anayoiamini kwa vipande thelathini vya fedha? Sasa ukweli halisi ni kwamba Magufuli hajamnunua mtu. Magufuli alichokifanya ni kuwafunua for what a giant sham you are.
usirukie kujificha kwenye kichaka cha kuniita mpinzani, mimi siwakilishi chama chochote kwenye maoni yangu, simply najibu Magufuli alivyokuwa tapeli

nimekuujibu Magufuli alikuwa na integrity gani kumzidi Samia, maana ndio alichosema mtoa uzi, ku imply kuwa Magufuli alitaka upinzani wa kuikosoa CCM
Nikawajibu kama kuna mtu aliyekuwa desperate kuua upinzani nchi hii ili asikosolewe ni huyo tapeli Magufuli

Sema jingine
 
Magufuli alikuwa mbishi tu. Alishauriwa kuwa hawa wapinzani kula nao. Usiwaache na njaa. Hizi kelele ni sababu wana njaa. Hakusikiliza akasema yeye hawezi ishi kinafiki.

Matokeo yake tukayaona. Ila wenzie wanajua..ni kula nao tu. Kwa sasa tunamshukuru Rais Samia hana baya. Anakula nao anawakumbuka. Husikii hbr za Katiba.

Lema mpaka anajisahau anasema Samia asisemwe. So yeye ndo anatoa ruhusa? Yaani anakula mpaka baadaye atasema Samia tena 2025. Mi nipo hapa.

Ajue hatuna mpango wa kumtukana. Ale tu kistaarabu. Wapinzani hupiga kelele wanapokuwa na njaa. Mnamsikia Zitto? Ha ha ha.... Sisi tunawajua tatizo lao ni nini.

Huyu Lissu ndo mbishi tu. Wenzie wanalamba asali kwa upole yeye kuna kipindi anajisahau na ubishi wake. Ila nashauri marais wote wakija. Usipambane na wapinzani kwa nguvu. Wapatie tu asali...wanalamba lamba wewe unaendelea na maisha yako.

RAIS SAMIA TENA 2025. Wapinzani huwaui kwa nyundo unawaua kwa asali. Vyama vyao vinakufa tu automatically. Sasa wameachiwa wafanye Mikutano. Hawana Hoja. Lema anasema waendesha boda boda wamelaaniwa. Keshokutwa atasema Manesi wamelaaniwa.

Siku nyingine atasema walimu wamelaaniwa, wiki ijayo atasema wanajeshi wamelaaniwa. Sababu sasa hana hoja nchi inaenda vizuri anakula anakunywa. Hana cha kusema zaidi ya kuwageukia wananchi sasa kuwapasha.
Rais Samia Suluhu ni akili kubwa hatumii nguvu katika kufanikisha mambo yake lakini amefanikiwa kurejesha democrasia iliyokua imepotea ukiachana na asali na mambo mengine sisi watanzania wazalendo tunajivunia kuwa na siasa safi hakuna matusi tena
 
Umeandika upumbavu WA Hali ya juu, yaani wewe ndio mfano halisi WA Wana CCM waliokua wanafurahia kutekwaz kuteswa na kuuwawa kwa watanzania.

CCM ni Mawakala wa shetani!
Kuwa teka na kuwafunga kwenye viroba mkatoswa kwenye maji na kuwaacha mkalamba Asali na vyama vyenu vikapotea kama mshumaa bora kipi mzee UBISHI?
 
Alikuwa anataka kubadili katiba atawale milele sema tu ya mwanadamu sio ya Mungu
Hacha uhongo hasingepata hiyo nafasi Wasukuma tupo wengi tunayotaka hiyo chance....Ccm sio chadema ya kuwa na mwenyekiti wa kudumu.
 
Alikuwa anataka kubadili katiba atawale milele sema tu ya mwanadamu sio ya Mungu
Pimbi sana yule jamaa mshamba kutoka shamba chato,alikalishwa na watoto wamjini sahv analiwa na funza,watoto wamjini wanachezea mirija
 
Back
Top Bottom