Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Ni system nzima. Jiulize kwanini Lema anaongea na JK iliaweze kurudi Tanzania? CCM na CDM elites ni kitu kimoja.Wapinzani walimuwahi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni system nzima. Jiulize kwanini Lema anaongea na JK iliaweze kurudi Tanzania? CCM na CDM elites ni kitu kimoja.Wapinzani walimuwahi?
Wengine tunaona the way wapinzani walivyokuwa wakibehave it was just a matter of time before Magufuli au kiongozi mwingine mwenye uvumilivu mdogo sana wa unafiki afanye kile alichokifanya. Miaka yote upinzani unatuaminisha kwamba nchi imejaa uozo sugu kuanzia serikalini hadi migodini. Haya Magufuli alivoingia akaanza walau kuonyesha nia ya kurekebisha mambo upinzani mlimfanyaje? Si ndipo pale kale kakimbizi ka ubelgiji kakaanza kumwita dikteta uchwara?Mimi sio mpinzani, na expose utapeli wa Magufuli, wapinzani wakionyesha utapeli nitawasema pia
Kama kulikuwa na vyama vya upinzani kipindi cha nyuma ambavyo vilijifia kwa sababu nyingine ambazo hii sio mada yake, ila hakuondoi fact kuwa Magufuli alijaribu desperately kuua upinzani ila akashindwa
Hoja hapa sio kuwa vyama vya upinzani havikuwahi kufa kabla ya Magufuli, hoja ni kuwa Magufuli hakutaka upinzani,
Alizuia mikutano ya hadhara ambayo marais wote wameruhusu, katiba ya Tanzania imeruhusu
Alifanya uchaguzi kihuni sana kiasi kwamba ilimbidi azime mitandao ili kuepusha watu kuona uozo aliofanya
Alikuwa na maadili gani kuweza kumuona huyu mnafiki na huyu sio mnafiki wakati yeye alikuwa anafiki wa kupitiliza?Wengine tunaona the way wapinzani walivyokuwa wakibehave it was just a matter of time before Magufuli au kiongozi mwingine mwenye uvumilivu mdogo sana wa unafiki afanye kile alichokifanya. Miaka yote upinzani unatuaminisha kwamba nchi imejaa uozo sugu kuanzia serikalini hadi migodini. Haya Magufuli alivoingia akaanza walau kuonyesha nia ya kurekebisha mambo upinzani mlimfanyaje? Si ndipo pale kale kakimbizi ka ubelgiji kakaanza kumwita dikteta uchwara?
Na hata huyu mama msije mkafikiri kwamba mtamtia kidole machoni mnavyotaka kisa anaongea kwa upole au hafoki kama Magufuli au kwa vile amewapa airtime mliyoililia au eti katiba ya nchi bla bla. Rais ni Rais tu na anasimama kwa maslahi mapana ya taifa mengine yapo ndani au nje ya katiba. Pale itakapoonekana kwamba jinsi mbavyobehave inahatarisha misingi ya nchi hata yule mvumiluvu wa kiwango cha mwisho hawezi kukaa na kuwakenulia meno. Ilikuwa hivo kwa Mkapa, ikawa hivo kwa Kikwete na sioni tofauti kwa Magufuli. Na nirudie kuwaambia tena pengine mara ya mwisho: upinzani mmejifia mwenyewe msimsingizie Magufuli.
Kwamba alipokuwa waziri katika serikali ya Kikwete alifanya tofauti na alivyokuja kuwa Rais? Alipotaka kuvunja lile jengo la tanesco ubungo? Alipokataa kuipokea barabara iliyojengwa chini ya kiwango (nimesahau ni wapi but ni somewhere Dar), alivokamata meli ya wachina wavuvi wa samaki? Na hapo sijataja kwamba Magufuli akiwa waziri wa ujenzi aliwahi "kuipendelea" Chato kwa kuweka taa za barabarani wakati Chato kikiwa kijiji kabisa, na kuna miji kibao ya maana haikuwa na taa za barabarani. Magufuli hakuwahi kubadilika katika namna za utendaji wake wa kazi awe waziri au Rais. Of course kuna mipaka kati ya kile unachoweza kusema au kufanya ukiwa waziri tofauti na ukiwa Rais pengine ndizo hizi variations unazojaribu kuziainisha. But at the core jamaa alifanya kile alichomaanisha na sisi wananchi we could see his pure intent hata kama hakufanikiwa asiliia mia. Kwa standards za kibinadamu hakuwa mnafiki. Na hapo wala siwezi kusema alikuwa mkamilfu maana kuna utofauti kati ya kutokuwa mkamilifu na kutokuwa mnafiki. Magufuli hakuwa mkamilifu (and no one is) ila hakuwa mnafiki. Aliishi kwenye kile alichokuwa akikiamini basi. Nipe mtu huyo mara mia kuliko takataka zisizoaminika.Alikuwa na maadili gani kuweza kumuona huyu mnafiki na huyu sio mnafiki wakati yeye alikuwa anafiki wa kupitiliza?
Huyu si ndio alitaka kugeuza kijiji chake kuwa mkoa huku akikataa maombi ya mikoa mingine kugawanywa kwa kigezo cha gharama?
Huyu si alikuwa kwenye serikali ya Kikwete kwa miaka 10 na kuisifia sana, ila alipokuwa Rais akawa anasema ilikuwa imejaa uozo?
Huyu "mkombozi" wenu wanyonge ana authority gani ya kuita wengine wanafikl?
Kwani maisha ni mazuri kwa wananchi?Most of the time mlikua mnalalamika kuwa Wapinzani hawa-appreciate kitu, Leo waki-appreciate inakua nongwa
Kikwete alipokuwa akikosolewa kuhusu kusafiri sana nje Magufuli hakusema anatakiwa asafiri ili alete "mahela"? Alipokuwa Rais akawa anakosoa kusafiri nje?Kwamba alipokuwa waziri katika serikali ya Kikwete alifanya tofauti na alivyokuja kuwa Rais? Alipotaka kuvunja lile jengo la tanesco ubungo? Alipokataa kuipokea barabara iliyojengwa chini ya kiwango (nimesahau ni wapi but ni somewhere Dar), alivokamata meli ya wachina wavuvi wa samaki? Na hapo sijataja kwamba Magufuli akiwa waziri wa ujenzi aliwahi "kuipendelea" Chato kwa kuweka taa za barabarani wakati Chato kikiwa kijiji kabisa, na kuna miji kibao ya maana haikuwa na taa za barabarani. Magufuli hakuwahi kubadilika katika namna za utendaji wake wa kazi awe waziri au Rais. Of course kuna mipaka kati ya kile unachoweza kusema au kufanya ukiwa waziri tofauti na ukiwa Rais pengine ndizo hizi variations unazojaribu kuziainisha. But at the core jamaa alifanya kile alichomaanisha na sisi wananchi we could see his pure intent hata kama hakufanikiwa asiliia mia. Kwa standards za kibinadamu hakuwa mnafiki. Na hapo wala siwezi kusema alikuwa mkamilfu maana kuna utofauti kati ya kutokuwa mkamilifu na kutokuwa mnafiki. Magufuli hakuwa mkamilifu (and no one is) ila hakuwa mnafiki. Aliishi kwenye kile alichokuwa akikiamini basi. Nipe mtu huyo mara mia kuliko takataka zisizoaminika.
Nimeshakwambia kuhusu Chato bado hata huelewi. Kuhusu Chato alianza kuipendelea tangu hata hajawa Rais so kuhusu suala la Chato alibaki kwenye msingi wake.Kikwete alipokuwa akikosolewa kuhusu kusafiri sana nje Magufuli hakusema anatakiwa asafiri ili alete "mahela"? Alipokuwa Rais akawa anakosoa kusafiri nje?
Hakusema kuwa atamfunga Lowassa kwa ufisadi ila badala yake akaishia kumkaribisha CCM?
Na kuipendelea Chato na kutaka kuifanya mkoa huku ukiinyima mikoa yenye uhitaji zaidi kwa madai kuwa unabana matumizi sio unafiki?
Au hujui hata maana ya unafiki unaousema ni nini?
so kupendelea chatyo huku ukidai wewe ni wa wote sio unafiki? au hujui maana ya unafiki?Nimeshakwambia kuhusu Chato bado hata huelewi. Kuhusu Chato alianza kuipendelea tangu hata hajawa Rais so kuhusu suala la Chato alibaki kwenye msingi wake.
Kuhusu kusafiri kwa Kikwete I think hapo alionyesha "unafiki" japo kwa sisi wengine tunaolitizama hili ni hindsight hasa baada ya kuwa ashakuwa Rais we think kama mwanasiasa alicheza gemu ya kisiasa hapo with future plan in mind. Kumbuka Rais ndie mwenyekiti wa chama hasa kwa mtu mwenye malengo ya juu kisiasa.
Kuhusu kumfunga Lowassa, dont even recall hiyo kauli.
Whatever. Kwa standards za kibinadamu jamaa was very predictable.
Hiyo siyo excuse kwa yule HAYAWANI wa Chato. Yule ni Mungu alimkataa kwa uovu aliokuwa amewafanyia Watanzania na ambao alikuwa anapanga kufanya baada ya kuiba kura zote za 2020 na kuweka wabunge wake ambao wangemsaidia kubadili kifungu cha ukomo wa urais mwaka 2025. Muache aendelee kuungua na moto, fanya ya kwako yanayokuhusu
Wewe ni mnufaika wanutawala DHALIMU wa Magufuli lazima upate kuchefuchefu kama mwanamke mwenye mimba changa.Katika analysis ni zero brain
Ndiyo umeamua kujifichia hapo ili angalao ujifariji?Magufuli alikuwa mbishi tu. Alishauriwa kuwa hawa wapinzani kula nao. Usiwaache na njaa. Hizi kelele ni sababu wana njaa. Hakusikiliza akasema yeye hawezi ishi kinafiki.
Matokeo yake tukayaona. Ila wenzie wanajua..ni kula nao tu. Kwa sasa tunamshukuru Rais Samia hana baya. Anakula nao anawakumbuka. Husikii hbr za Katiba.
Lema mpaka anajisahau anasema Samia asisemwe. So yeye ndo anatoa ruhusa? Yaani anakula mpaka baadaye atasema Samia tena 2025. Mi nipo hapa.
Ajue hatuna mpango wa kumtukana. Ale tu kistaarabu. Wapinzani hupiga kelele wanapokuwa na njaa. Mnamsikia Zitto? Ha ha ha.... Sisi tunawajua tatizo lao ni nini.
Huyu Lissu ndo mbishi tu. Wenzie wanalamba asali kwa upole yeye kuna kipindi anajisahau na ubishi wake. Ila nashauri marais wote wakija. Usipambane na wapinzani kwa nguvu. Wapatie tu asali...wanalamba lamba wewe unaendelea na maisha yako.
RAIS SAMIA TENA 2025. Wapinzani huwaui kwa nyundo unawaua kwa asali. Vyama vyao vinakufa tu automatically. Sasa wameachiwa wafanye Mikutano. Hawana Hoja. Lema anasema waendesha boda boda wamelaaniwa. Keshokutwa atasema Manesi wamelaaniwa.
Siku nyingine atasema walimu wamelaaniwa, wiki ijayo atasema wanajeshi wamelaaniwa. Sababu sasa hana hoja nchi inaenda vizuri anakula anakunywa. Hana cha kusema zaidi ya kuwageukia wananchi sasa kuwapasha.
Unajua ulicho post au umepost tuu kiCCM CCM???Lema ni mropokaji, hii imeumiza wengi hasa JK
Sema huna weledi wa kujua nilichoandika. Ni vyema ukaomba ufafanuzi kuliko kujidharaulisha mbele ya kadamnasiUnajua ulicho post au umepost tuu kiCCM CCM???
AKILI YAKO INAKUDANGANYAMagufuli alikuwa mbishi tu. Alishauriwa kuwa hawa wapinzani kula nao. Usiwaache na njaa. Hizi kelele ni sababu wana njaa. Hakusikiliza akasema yeye hawezi ishi kinafiki.
Matokeo yake tukayaona. Ila wenzie wanajua..ni kula nao tu. Kwa sasa tunamshukuru Rais Samia hana baya. Anakula nao anawakumbuka. Husikii hbr za Katiba.
Lema mpaka anajisahau anasema Samia asisemwe. So yeye ndo anatoa ruhusa? Yaani anakula mpaka baadaye atasema Samia tena 2025. Mi nipo hapa.
Ajue hatuna mpango wa kumtukana. Ale tu kistaarabu. Wapinzani hupiga kelele wanapokuwa na njaa. Mnamsikia Zitto? Ha ha ha.... Sisi tunawajua tatizo lao ni nini.
Huyu Lissu ndo mbishi tu. Wenzie wanalamba asali kwa upole yeye kuna kipindi anajisahau na ubishi wake. Ila nashauri marais wote wakija. Usipambane na wapinzani kwa nguvu. Wapatie tu asali...wanalamba lamba wewe unaendelea na maisha yako.
RAIS SAMIA TENA 2025. Wapinzani huwaui kwa nyundo unawaua kwa asali. Vyama vyao vinakufa tu automatically. Sasa wameachiwa wafanye Mikutano. Hawana Hoja. Lema anasema waendesha boda boda wamelaaniwa. Keshokutwa atasema Manesi wamelaaniwa.
Siku nyingine atasema walimu wamelaaniwa, wiki ijayo atasema wanajeshi wamelaaniwa. Sababu sasa hana hoja nchi inaenda vizuri anakula anakunywa. Hana cha kusema zaidi ya kuwageukia wananchi sasa kuwapasha.
Hili lilikuwa ndio liwe hitimisho la kumjibu mtu mjinga. Wakati mwingine kujadili mambo na watu wa aina hiyo ni kujitibulia nyongo bure maana unabaki kujiuliza inakuwaje mtu anajiunga na Jamiiforums "the home of great thinkers" huku anajijua ni mpumbavu?Ndio mwisho wa akili zako
Well said BrotherHili lilikuwa ndio liwe hitimisho la kumjibu mtu mjinga. Wakati mwingine kujadili mambo na watu wa aina hiyo ni kujitibulia nyongo bure maana unabaki kujiuliza inakuwaje mtu anajiunga na Jamiiforums "the home of great thinkers" huku anajijua ni mpumbavu?
Basi sio hoja kujiunga, si bora ajisomee tuu ili kuondoa ujinga ili aelimike?
Ona hoja kama hii! Wanawazungumzia wapinzani wa CCM kama ni wapinzani wa Tanzania. Wangekuwa wapinzani wa TZ wangetetea raslimali za nchi dhidi ya wafujaji ccm?
Kuna wakati waweza kujuta hawa ambao akili zao zina ukomo why wamo humu?
FactWengine tunaona the way wapinzani walivyokuwa wakibehave it was just a matter of time before Magufuli au kiongozi mwingine mwenye uvumilivu mdogo sana wa unafiki afanye kile alichokifanya. Miaka yote upinzani unatuaminisha kwamba nchi imejaa uozo sugu kuanzia serikalini hadi migodini. Haya Magufuli alivoingia akaanza walau kuonyesha nia ya kurekebisha mambo upinzani mlimfanyaje? Si ndipo pale kale kakimbizi ka ubelgiji kakaanza kumwita dikteta uchwara?