Njia rahisi ya kuua upinzani ambayo Hayati Magufuli hakuitaka. Inafanya kazi vizuri

Wacha kutetea ujinga. Wanakufa watoto wachanga ambao wanazaliwa kwenye mazingira magumu. Hakuna wakunga na hakuna hospitali na vifaa tiba. Paul Biya wa Cameroon ana miaka 91 bado yupo. Thobiang Nguema ana zaidi ya 80 bado yupo.

Huyu kichaa wenu alihamisha mitambo mizuri ya hospitali ya Bugando akapeleka Chato, akawa na madaktari wote wazuri akina Prof Ngwale, Mchembe, MAKUBI lakini walishindwa kumuokoa kwenye COVID 19.
.
Magufuli alikuwa alidhani hatakufa. Akajilinda na Wanyarwanda, wachawi wa Gambosh na bado akadedishwa na COVID 19. Magufuli alikuwa analindwa na kikosi Maalum cha Askari wenye sare na wasii na sare, Askari wenye mabastola na AK 47, Askari wenye ving'amuzi vya kwenye laptop, magari ya Internet Jammer na utambuzi wa vilipuzi. Na mwisho alikuwa na Helicopter juu angani!! Vilimpa kiburi lakini Mungu akaamua pale 17/ 03/ 21 na kumpeleka jehanam
Screenshot_2023-03-06-21-36-48-22_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
usirukie kujificha kwenye kichaka cha kuniita mpinzani, mimi siwakilishi chama chochote kwenye maoni yangu, simply najibu Magufuli alivyokuwa tapeli

nimekuujibu Magufuli alikuwa na integrity gani kumzidi Samia, maana ndio alichosema mtoa uzi, ku imply kuwa Magufuli alitaka upinzani wa kuikosoa CCM
Nikawajibu kama kuna mtu aliyekuwa desperate kuua upinzani nchi hii ili asikosolewe ni huyo tapeli Magufuli

Sema jingine
Aliyeanza name calling si ni wewe uliyeniita zezeta? Afadhali mimi niliyekuita "mpinzani" na wala sikumaanisha kwamba lazima uwawakilishe vyama vya upinzani. Ila vyovyote vile unavyotaka utambulike still huna tofauti na anti-Magufuli wa rangi zote. Wengine hawakumpenda kwa sababu aliwatumbua kwa sababu mbalimbali ikiwemo vyeti feki, wengine hawakumpenda kwa sababu hakuwa mvumilivu wa incompetence ya aina yoyote ile, wengine ambao pengine ndio mada iliyo mezani watamchukia milele kwa sababu aliwafunua jinsi walivyo wanafiki na wabinafsi waliojificha kwenye demokrasia na siasa za upinzani.

Zipo sababu nyingi sana za kumchukia Magufuli kama ukitaka kumchukia. Na sidhani kwamba Magufuli alikuwa na nia ya kuuua upinzani, NCCR wakati inajifia aliyeiua siyo Magufuli, CUF wakati inajifia aliyeiua siyo Magufuli, TLP wakati inajifia aliyeiua siyo Magufuli na Chadema inavyojifia msimsingizie Magufuli. Anayeua upinzani ni wapinzani wenyewe: hamna misingi, hamna dira ya muda mrefu na at the core kinachowasukuma kwenye siasa zenu ni ubinafsi uliopitiliza. Kama mnafikiri Magufuli ndio mbaya wenu haya leo hayupo but tutarudi tena kwe uzi huu miaka kadhaa ijayo na utaniambia. Kama tutabahatika kuwa hai anyway. Kwanini nina ujasiri huo? Kwa sababu wapinzani hamna uwezo hata wa kujikosoa na kubadilika.
 
Mkuu umemaliza kila kitu kwani Johnny Sack nani aliowalizimisha Wapinzani wampokee Lowassa sio maamuzi yao wao wenyewe na hao hao walianza kumtuhumu ni fisadi mpaka wakamweka kwenye list of shame, Upinzani unajimaliza wao wenyewe kwa tamaa zao za kijinga zisizokuwa na maslahi ya wananchi pamoja na kuwa ni vigeugeu umesikia huko habari ya wabunge wa covid-19?
 
Mi nilishaacha kufatilia mambo yao kitambo. Niliwapa benefit of doubt kesi ya akina Zitto na Mkumbo. Kipindi hicho nilikuwa bado na sympathy nao na nilihisi pengine Zitto na genge lake walikuwa wana hatia kwenye migogoro yao na chama. Poor me! Ilipoingia ishu ya Slaa kujitoa Chadema then Lowassa kuingia na kugombea urais tokea hapo nilinawa mikono.

Sasa sikia hiyo ya Zitto na katiba ya chama chake aliyoiandika mwenyewe kwamba yeye ni kiongozi wa chama nafasi ambayo haigombewi, haipingwi, yaani ni kama nafasi ya Mungu mwenyezi. Hawa ndio wapo bize kusema Magufuli was a bad guy aliyeminya demokrasia. Takataka kabisa.
 
Ni kweli hakufanikisha lolote wakati kila siku unaupandisha huo mkunduw kwenye mabasi ya blue kutoka gerezani hadi unapoushusha ukielekea uswekeni ulipojenga huko Matosa.
hahaha dah Man kumbe na wew unakauli tata? hii Coment yako imefanya nisahau nilichodhamiria kuandika
 
Mkuu umemaliza kila kitu kwani Johnny Sack nani aliowalizimisha Wapinzani wampokee Lowassa sio maamuzi yao wao wenyewe na hao hao walianza kumtuhumu ni fisadi mpaka wakamweka kwenye list of shame, Upinzani unajimaliza wao wenyewe kwa tamaa zao za kijinga zisizokuwa na maslahi ya wananchi pamoja na kuwa ni vigeugeu umesikia huko habari ya wabunge wa covid-19?
Kama ulijimaliza wenyewe kwa nini alifingia mikutano ya hadhara? Ambayo lpo kikatatiba na marais wote wa Tanzania wameorihusu?
Kwa nini alijaribu kumuua Lissu akashindwa? Kwa nini alipora uchaguzi na kuzima intaneti?
 
Aliyeanza name calling si ni wewe uliyeniita zezeta? Afadhali mimi niliyekuita "mpinzani" na wala sikumaanisha kwamba lazima uwawakilishe vyama vya upinzani. Ila vyovyote vile unavyotaka utambulike still huna tofauti na anti-Magufuli wa rangi zote. Wengine hawakumpenda kwa sababu aliwatumbua kwa sababu mbalimbali ikiwemo vyeti feki, wengine hawakumpenda kwa sababu hakuwa mvumilivu wa incompetence ya aina yoyote ile, wengine ambao pengine ndio mada iliyo mezani watamchukia milele kwa sababu aliwafunua jinsi walivyo wanafiki na wabinafsi waliojificha kwenye demokrasia na siasa za upinzani.

Zipo sababu nyingi sana za kumchukia Magufuli kama ukitaka kumchukia. Na sidhani kwamba Magufuli alikuwa na nia ya kuuua upinzani, NCCR wakati inajifia aliyeiua siyo Magufuli, CUF wakati inajifia aliyeiua siyo Magufuli, TLP wakati inajifia aliyeiua siyo Magufuli na Chadema inavyojifia msimsingizie Magufuli. Anayeua upinzani ni wapinzani wenyewe: hamna misingi, hamna dira ya muda mrefu na at the core kinachowasukuma kwenye siasa zenu ni ubinafsi uliopitiliza. Kama mnafikiri Magufuli ndio mbaya wenu haya leo hayupo but tutarudi tena kwe uzi huu miaka kadhaa ijayo na utaniambia. Kama tutabahatika kuwa hai anyway. Kwanini nina ujasiri huo? Kwa sababu wapinzani hamna uwezo hata wa kujikosoa na kubadilika.
Mimi sio mpinzani, na expose utapeli wa Magufuli, wapinzani wakionyesha utapeli nitawasema pia

Kama kulikuwa na vyama vya upinzani kipindi cha nyuma ambavyo vilijifia kwa sababu nyingine ambazo hii sio mada yake, ila hakuondoi fact kuwa Magufuli alijaribu desperately kuua upinzani ila akashindwa

Hoja hapa sio kuwa vyama vya upinzani havikuwahi kufa kabla ya Magufuli, hoja ni kuwa Magufuli hakutaka upinzani,

Alizuia mikutano ya hadhara ambayo marais wote wameruhusu, katiba ya Tanzania imeruhusu
Alifanya uchaguzi kihuni sana kiasi kwamba ilimbidi azime mitandao ili kuepusha watu kuona uozo aliofanya
 
Mbinu za awamu ya nne ndio zinazotumika sasa.

Awamu ya nne ndio hii hii katika sura nyingine.
 
Kama ulijimaliza wenyewe kwa nini alifingia mikutano ya hadhara? Ambayo lpo kikatatiba na marais wote wa Tanzania wameorihusu?
Kwa nini alijaribu kumuua Lissu akashindwa? Kwa nini alipora uchaguzi na kuzima intaneti?
Hilo ni kosa lake kubwa "kujaribu" badala ya kumaliza kabisa mwisho wake wamemwahi yeye. Kuna maslahi ya watu ukishika lazima watu wauane hiyo ni dunia ilivyo, hata US baba wa demokrasia duniani nenda ukashikie maslahi yake huko middle east halafu tuone kama utarudi salama. Acheni kuishi kwenye utopia.
 
Wapinzani walimuwahi?
 
Mjomba Magufuli alitaka kumaliza upinzani kwa mkono wa chuma,kumbe kulikuwa na njia rahisi sana ya kushirikiana nao ili tujenge Tanzania yetu kwa pammoja. Sio kwamba Raisi SSH ameua upinzani hapana ila wapinzani wanaanza kufanya shughuli zao kwenye mazingira rafiki za kujenga taifa letu.
 
Back
Top Bottom