Dawa Pekee ni Dhamira ya Dhati ya kuacha.Wadau hivi kuna dawa ya kuacha hii kitu?!
Kimbilia kwa Yesu ndo kuna dawa na hautatamani pombe kamweWadau hivi kuna dawa ya kuacha hii kitu?!
Kumbe unajua chakufanya inahaja gani mkuu kuomba ushaurihahhhaha, ahsante Sky Eclat ushauri wako nimeuchukua kwa asilimia zote
Endelea kunywa,unaanzaje kuacha kwa mfanoWadau hivi kuna dawa ya kuacha hii kitu?!
Nimecheka sana watu wana maneno humuKata maji kama njuri njuri wanasemaga mwagiria rooo nafsi isuuzike
sio wote walala hoi, wakuwania vipombeHuna lolote...hakuna demu wa dizaini hii hapa bongo........unazuga tu...huwa mnasikilizia tu ..ila hamuwwzi kataa ofa...
Sasa kwenye stimu sijajua kwako itakuwaje, maana mie ni "Concord" wa pombe silewagi, hahahahahahahahOw! Sipendi vichungu na vyeusi..
But inaleta stimu fastaa?
hahahahahahaahahaahahDawa pekee ni kukosa hela, omba mungu ukose hela ndani ya miezi 6 nadhan arosto itakuisha
Sent from my HTC Desire 728 dual sim using JamiiForums mobile app