Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Wadau hivi kuna dawa ya kuacha hii kitu?!
27337256_1841505225860938_5503661048073424491_n.jpg
Dawa Pekee ni Dhamira ya Dhati ya kuacha.
Vinginevyo ni kudanganya tu.
 
Nenda pale Riverside kama upo Dar, kuna mtu anaitwa Mzee wa upako kisha muelezee tatizo hili.
 
Sheria ya Mungu ndio dawa, na garama yake ni ndogo sana, kuifuata sheria ya Mungu basi
 
Pombe kuacha ni kitu chepesi sana.

Ni maamuzi tu.

Ukiamua kuacha inawezekana.

Yaani inawezekana sana
 
Too much of anything is harmful.

From my experience: Everything IN LIFE should be done in moderation.

Mimi ni mpenzi wa beer (mara nyingi Heineken). Lakini baada ya mda niliamua kupunguza. Si kwamba sinywi au nilipata mhadhara yoyote. NO. Nikiwa na marafiki napiga monde vizuri tuu. Lakini naweza kumaliza hata wiki sijaenda bar. Au naweza kwenda bar nikanywa bia mbili au tatu nikarudi zangu nyumbani. Ni maamuzi tuu. Kikubwa ni kujielewa.

Again ushauri kwa mleta mada. Si lazima uache Pombe. Lakini unaweza kunywa in moderation na ukawa powa tuu.

Ni kama sigara. Nina Rafiki yangu anavuta sigara for more than thirty years now. Lakini mpaka umuone anavuta ....ni shughuli. Na anaweza akamaliza hata mwezi hajavuta. Ni swala la ku-control mind zetu. Maana hata juice, soda, nk ukinywa in large quantity lazima vitakudhuru tuu.
 
Ipo ya kenyeji nilimchukulia mtu iringa huko mskete nililipa 75' mm sikuamini lkn jamaa hagus pombe kabisa
 
Back
Top Bottom