Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Siwez kukubali mazaa apigwee kila sku kwa starehe zake baba nampa tu kipondo hata laaana szan kama itanifikia maana nitakuwa nimefanya jambo jemaaa
Kwa nini umtetee mazaa zaidi ya dingi ?! Hao walipotoana wanajua wenyewe

Wewe mshtakie Mungu, ndugu, marafiki na jamaa. Pia endelea kutafuta dawa lakini si kupiga
 
Tiba kuu ya pombe NI kujitambua tu
 
Labda watu tumetofautiana aisee hivi unaanzaje kumpiga baba ako mzazi [emoji23][emoji23]

Akianzisha zogo hapo nikutoka kimya kimya kama simuoni
 
Mkuu nimesoma thread yako nikajiuliza.
Baba yako kaanza pombe siku hizi? Au hiyo tabia ya kupiga kaanza lini? Yani kakulea mpaka umepata smart phone maza hajamkimbia iwaje ndugu waingilie kati sasa?
Kuna kitu unaficha chalii..
Anyway kuna dawa za kimasai unachanganya kwenye pombe akiinywa kila akigusa pombe ni kuharisha na kutapika mpaka atakosa hamu ya pombe...
 
mbona simple sana mm mzee alikuwa ni mlevi kila siku tulikuwa lazima tupeleke watu kuwatibu maana alikuwa anatembeza kichapo huko baa mpo basi.
kwavile home alikuwa haletagi fujo tuliona sawa ila tukaja ona tunapoteza fedha nyingi Kwa kutibu watu.
tulichofanya tulitafuta maziwa ya nguruwe kidogo tuka mix kwenye mbege alafu tukampa alitaaapika yaani mpk leo ata akikaa karibu na pombe roho inachefuka zake ni soda na chai tu
 
We kunywa tu wala usihofu, Mimi mwenyewe nataka dawa ya Sigara ila hata nikiacha naona ntajipunja sana aisee.
 
Uhuni huo.
 
Etiiiii? Baba yenu mmchangie kumpiga? Duhhh we kabila gani mkuu
 
Hii kitu unawezajiwekea mwenyewe???
 
Akitoa accrual akaipigapiga chini ujue hiyo laana itakuandama wewe na vizazi vyako vyote..
 
duh,,, tea na soda!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…