princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Kusema kweli nimekubali nilikua nakunywa pombe kishamba,Nimekuelewa sana Ndugu...teh hee hee..,kuna post umedai ulipokuwa na 50,000 ulikuwa unaogopa kuingia bar,
...na kwa kutaja taja haya majina umedhihirisha pasi na shaka kuwa wewe ni mshamba na ulikuwa unakunywa bia kishamba!..,
...hata baada ya kuacha hujaongeza i.q yoyote zaidi ya kuongeza ukibuyu kichwani!
...ngoja nirudie swali unalolikwepa kwa maksudi,una hisa ngapi CRDB baada ya kuacha pombe??
...teh hee hee
Je, na sisi tunaojiweza ila tunakunywa socially kuna tatizo gani hapo?
mtoa mada ebu hapo kwenye his a crdb utufafanulie kidogo bei ya hisa moja na kiwango cha chini cha kununua hisa ili tuanze kuwekeza na sisi
huna hela!Mm nimemua na nàamini nimeacha mwezi wa 3 sasa sijagusa na sina hamu nayo
nimekupata mkuumjumbe wa bwana hicho kipengele cha hisa ya crdb ni mfano tu, Badala ya hila ningesema badala ya bia nunua tofali, yaani kwasababu kila mwezi unakunywa laki tatu basi kila mwisho wa mwezi nunua tofali 300 au tofali 1,200 kila baada ya miezi minne.
Natumaini umenielewa.
Habari wakuu..
nimefanikiwa kuacha pombe hapa karibuni lakini nimekua na tatizo la kutopata usingizi toka nilipoacha naombeni msaada nifanye nini kuondokana na hali hii
wewe sio wale vijana waliositishiwa ajira na anko magu kweli????huwezi acha pombe kirahisi ivyoMm nimemua na nàamini nimeacha mwezi wa 3 sasa sijagusa na sina hamu nayo