Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

baba angu anakeshaga akipumzika pombe halali!
kwahiyo ni kawaida kabisa..
wengine wanaumwaga.
huo ni mfadhaiko ,hukutakiwa kuacha gafla ilibidi uache taratibu sio gafla.....

chochote ukiacha gafla kina cost ,hata mke ukimuacha gafla.
 
...teh hee hee..,kuna post umedai ulipokuwa na 50,000 ulikuwa unaogopa kuingia bar,
...na kwa kutaja taja haya majina umedhihirisha pasi na shaka kuwa wewe ni mshamba na ulikuwa unakunywa bia kishamba!..,
...hata baada ya kuacha hujaongeza i.q yoyote zaidi ya kuongeza ukibuyu kichwani!
...ngoja nirudie swali unalolikwepa kwa maksudi,una hisa ngapi CRDB baada ya kuacha pombe??
...teh hee hee
Kusema kweli nimekubali nilikua nakunywa pombe kishamba,Nimekuelewa sana Ndugu
 
mtoa mada ebu hapo kwenye his a crdb utufafanulie kidogo bei ya hisa moja na kiwango cha chini cha kununua hisa ili tuanze kuwekeza na sisi
 
Je, na sisi tunaojiweza ila tunakunywa socially kuna tatizo gani hapo?

Hapo hakuna tatizo kabisa ndugu labda upande wa dini. lakini wanaokunywa kwa ulimbukeni kama mimi ni tatizo kubwa sana.

Sio busura kunywa pombe kwasababu una hela ya msimu yaani unaenda bar kwasababu siku hiyo umepata hela au umepoke mshahara siku za karibuni.

Vijana tujiwekee malengo tuwachie hao wenye uwezo wao wanywe na sisi tutafika stage ambayo tunakunywa kwa kujiamini kwasababu tunajiweza.

Nimesikitika sana mdau mmoja hapo juu amesema alikua anakaa bar anampa mlevi mwenzie ATM CARD na password akamchukulie hela.

Vijana wakati ndio huu tubadilike
 
mtoa mada ebu hapo kwenye his a crdb utufafanulie kidogo bei ya hisa moja na kiwango cha chini cha kununua hisa ili tuanze kuwekeza na sisi

mjumbe wa bwana hicho kipengele cha hisa ya crdb ni mfano tu, Badala ya hila ningesema badala ya bia nunua tofali, yaani kwasababu kila mwezi unakunywa laki tatu basi kila mwisho wa mwezi nunua tofali 300 au tofali 1,200 kila baada ya miezi minne.

Natumaini umenielewa.
 
Nashukuru sana kwa hii post,mimi mwenyewe siku nisipokunywa pombe naangaika sana kupata usingizi
 
Rain Sound and Rainforest Animals Sound - Relaxing Sleep


321 Relaxing - Meditation Relax clip
 
Back
Top Bottom