Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Nguli
IMG_20201217_235834.jpg
 
Pole ndugu; Jambo la msingi nenda hospital ukaonane na madactari wa ushauri nasaa unaweza acha pombe au kupunguza Kwa kiwango kikubwa.
Wenyewe ndo mabigwa wa kupiga Hizo kitu
 
Wakuu kwema?

Pombe pekee ninayokunywa huwa ni Serengeti Lite, so imefikia point nataka niache kunywa kabisa kitu kinachoitwa pombe. Kila nikijaribu kuacha nashindwa. Mfano jana kizembezembe tu nimejikuta nimepiga chupa 8 za Serengeti Lite.

Naomba mnipe mbinu za kuachana na unywaji wa pombe wakuu.
 
Serengeti "Light"? Achana na hayo mataptap Serengeti Lite ndio mpango mzima.

Sasa ndugu yangu vibia vinane tu ndo unataka kuacha? Hivyo si vibia vya kukata kiu tu? Mi nakushauri achana na vitu vya kijinga kama maziwa, sio bia.
 
Kunywa bia na chakula tu yaani bia iwe ni ya kushushia chakula na si ya kukata Kiu. Ukiweza hicho kuacha ni rahisi.
 
Back
Top Bottom